Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Salaam wakuu wa jamvi.
Naombeni list ya kdrama
Za ki highschool kali nitulie nazò weekend hii

Natanguliza shukrani.
 
Kuna zenye action hapo?
 
The Heirs

To the Beautiful You

True Beauty

Weightlifting Fairy Kim Bok Joo

High School Love On

Playful Kiss

Dream High

Sassy, Go Go

My ID is Gangnam Beauty

Heartstrings
Weightlifting ni ya chuo. Hiyo true beauty natamani niangalie ila sasa hivi drama za high school siangalii
 
Nani anaicheki our blues?
Yani ukiangalia unapata sonono mana wanaonyesha jinsi gani wa mjini wanaovaa misuti mikubwa wana stress za kufa mtu alafu walio kijijini wana ela mana hawachagui kazi wanapiga zozote afu hawalipuki masuti wala nini!
Hii drama ina story ya tofauti na series nyingi za kikorea!
 

Nzuri sana
Nimeimaliza
 
Nzuri sana
Nimeimaliza
Woow,mi niko episode ya 4
Yani humu ni uhalisia wa maisha yetu kabisa,wale wenye madegree ndo wanahangaika na ajira na mishahara ambayo huwezì toboa ukawa tajiri!
Wale ambao hawajasoma ndo mabilionea yani na wamewapa ajira wasomi benki wawatunzie ela zao!
Alieandika hii story ningemjua ningemnunulia jagamasta🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…