Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hii iliniboa sikuimalizia ina mazombie mabovu halafu drama zinazoigiziwa gizani gizani au mwanga hafifu huwa sizipendi. Ni maoni tu ,vuta episode moja ujaribu kuitest ladha yake

Sweet home ipoje wadau? Ina action kidogo? Natamani kumuona song kang kwenye action


Ukitaka uipate drama kwa urahisi kule kimoi igoogle mwishoni weka kimotv utaipata kwenye machaguo yatakayojitokeza
Kumbe...niliwahi kuitafuta Yumi's cells nikaikosa ndio maana nikawa na wasiwasi
 
Yenye giza hata mimi siitaki. Ngoja ningoje nyingine
 
Filming ya Part 2 ya Alchemy of souls ipo tayar na ishakuwa confirmed lakini kunaweza kuwa na mabadiliko ya lead actress Jung So Min /Mu Deok anaweza kubadilishwa na kuwa Go Yoon Jung/Naksu(aliye fariki,na nafsi yake kuingia kwa kipofu Mu Deok)

Wengi wanaomalizia kuangalia Part 1 ya Alchemy of soul wanatabiri part 2 itakuwa ni kurudi/kufufuka kwa Naksu.....

Current watching
Alchemy of soul(6/20)
Big mouth( 2/16)
Adamas(bado sijaianza)
Joseon PSychiatry(bado sijaianza)
Good Detective S1
Yumi cells S1

Suggestion ya drama nzurii any genre,zitaje[emoji116][emoji116]
 
Hii ulioweka kwenye picha ni drama gani?
 
Umeipata wapi ep ya 15
 
Wale mnaopenda drama zenye userious sana katika wahusika hasa wakuu yaani wasio kuwa na mambo mengi tafuteni hizi drama.

Hziyech22 fanya mpango ucheki moto unaitwa Carter na Insider. Ukimaliza cheki balaa zingine hizi mbili Veteran na The Suspect, baada ya hapo lazima utataka zingine.

Jamaa yako wa kwenye Defendant, Ji Sung ana balaa lingine inaitwa Adamas ni ongoing lakini.
 
Asante mkuu wewe unajua taste yangu mkuu thank you once again kwa kunitag ji sung namkubali Sana alitisha Sana kwenye defendant nitaachaje kumcheki yah kazi yake ya Adamas nimeshazimaliza episode zote nne zilizotoka pia hiyo inside naifatilia vizuri hiyo carter na the suspect sijaicheki nitazicheki maana hizo ongoing nimeshazimaliza
 
Karibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…