Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
[emoji16][emoji16][emoji16] watu wa nyumbani mwake bila shaka wanapata tabu sana.Wewe ni kesi maalum tulia pembeni. Mie naangalia kila kitu maana mb zenyewe zipo tele haina haja ya kubagua. Hivi inno kama drama tu unafanya hivyo misosi si mingi utakua na ugomvi nayo