Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hivi ile the heirs naweza ipata kwenye website gani mana kimoitv siioni na pia vikiRauten nashindwa kudownload!
Dramacool mb nyingi siwezi!
Kila siku Numbisa anaelekeza. Nenda Google andika jina la drama unayotaka malizia kimoi tv
Screenshot_20220813-190430.jpg
 
family dramas

Wonderful days ep 50

Family honor ep 50

Assorted gems ep 50

Nimevuta zote ila nimeangalia wonderful days pekee ina ka uzuri na comedy za hapa na pale. Watoto wamepewa nafasi kubwa ya kuonyesha vipaji vyao.
 
Nimevunjika moyo kabisa ep ya 12 ya yumi kuomba waoane nlijua baby wuung atapata nafasi dah

Napata wapi nguvu ya kuendelea mbele[emoji24]
Watu wengi bado hawajamove on kutoka kwa Woong.... What's so great about him[emoji57][emoji57][emoji57] This is Babi's error [emoji3577][emoji3577][emoji3577] Na mimi ndio president wa Babi's club[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jina tamu kwa kiswahili si ni cha umbea ama?😂😂😂😂Mie nasubiria nkiri ije nilikua navuta kila inayotokea pale juu hasa nikiwa sina cha kudownload
Naisubiria Big mouth iishe
Bora Babi alichangamkapo kuliko wungi😂😂😂😂alipotoswa kwa mara nyingine nilifurahi
Watu wengi bado hawajamove on kutoka kwa Woong.... What's so great about him[emoji57][emoji57][emoji57] This is Babi's error [emoji3577][emoji3577][emoji3577] Na mimi ndio president wa Babi's club[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jina tamu kwa kiswahili si ni cha umbea ama?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie nasubiria nkiri ije nilikua navuta kila inayotokea pale juu hasa nikiwa sina cha kudownload

Bora Babi alichangamkapo kuliko wungi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alipotoswa kwa mara nyingine nilifurahi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti cha umbea lol. Nkiri warudi tu jamani nimechoka kupakua mb 165 wakati mwanyewe nilikuwa nimezoea mb 95, 100, 115 zikizidi sana 120.
Woong mwehu tu mimi wala simpendi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Alifikiri Yumi atakaa anamsubiria...Babi bonge la mwanaume sijui unapata wapi nguvu za kumuacha mwanaume kama Babi jamani
 
Back
Top Bottom