Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Umenishtua nikadhan kuna mtu anaumwa hali mbaya. Ila nkiri inakaribia kurudi
Screenshot_20220812-060651.png

Daah jama tufunge na kuomba kwa ajili ya nkiri.com
 
Pamoja na drama nzuri zote ila kwangu mimi drama ambayo hadi leo nikiwaona wale actors nacheka sana na natamani niirudie ni ile welcome to waikiki tena ile season 1!
Kwenye hii drama walitisha sana ile crew yani hata ukiirudia unacheka kama ndo unaiona mara ya kwanza!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio poa, walitisha mnoo. Mr Queen umeicheki?
 
Nadhani mimi nilicheka zaidi Mr Queen
Ila mr.queen nayo ni ya kinamna namna ni historical drama ila very unique,hamna sehem nilicheka kama pale walipotangaza mfalme kafa afu mama ake akaanza kulia badae akaingia yule mr.queen mwenyewe akaanza kuangua bonge la kilio eti kaachwa adi na mtoto tumboni🤣🤣🤣🤣
 
Ila mr.queen nayo ni ya kinamna namna ni historical drama ila very unique,hamna sehem nilicheka kama pale walipotangaza mfalme kafa afu mama ake akaanza kulia badae akaingia yule mr.queen mwenyewe akaanza kuangua bonge la kilio eti kaachwa adi na mtoto tumboni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] anasema wanajifanya wanajua kuigiza...sasa tuzo ya Oscar nitachukua mimi leo
 
Back
Top Bottom