Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hahaha hata maji tena! Ungeendelea hivyo drip ingekuhusu lol....sasa fated to love you unaionaje? Kwenye vicheko vya huyo mkaka tu ndio ilikuwa inaniudhi kdg, endelea kuenjoy ila ulale mapema.
Yaniiiiii Daegil anakera sio kidogo kwa vicheko vyake.
Halafu sijui ndio yupo hivyo kweli? Maana hata kwenye Slave Hunter anacheka hivyohivyo.
Madirector wa kikorea wako makini sijui kwanini hawakuliona hilo.
 
Hahaha nimekumbuka slave hunter ni kweli itakuwa ndio swaga zake za uigizaji tumvumilie tu huyu ni Jang Hyuk, lakini hata mimi huwa namfananisha sana na Kim Nam-gil ambaye yuko kwenye bad guy...
 
Hahaha nimekumbuka slave hunter ni kweli itakuwa ndio swaga zake za uigizaji tumvumilie tu huyu ni Jang Hyuk, lakini hata mimi huwa namfananisha sana na Kim Nam-gil ambaye yuko kwenye bad guy...
pia ana movie nyengine nayo ni nzuri mno inaitwa "the merchant gaekju" name pia "shine or go crazy" yani humo yeye ni kucheka cheka tu ila hizo muvi ni nzuri mno
 
Hahaha nimekumbuka slave hunter ni kweli itakuwa ndio swaga zake za uigizaji tumvumilie tu huyu ni Jang Hyuk, lakini hata mimi huwa namfananisha sana na Kim Nam-gil ambaye yuko kwenye bad guy...
Kwani Iris si kacheza yeye?Au kacheza yule aliyecheza Kim Soo Ro?
Mimi nimezoea kumuita Daegil jina alilotumia kwenye Slave Hunters.
Hii chekacheka yake inakera mnoooo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hufai hata bure. Dawa yako ipo
 
pia ana movie nyengine nayo ni nzuri mno inaitwa "the merchant gaekju" name pia "shine or go crazy" yani humo yeye ni kucheka cheka tu ila hizo muvi ni nzuri mno
Hahaha na humo ni kucheka cheka tena! Naamini ndio ID yake aliyojiwekea ya kuigiza, lazima niitafute ila kama ni mbaya utalipa fine.
 
Kwani Iris si kacheza yeye?Au kacheza yule aliyecheza Kim Soo Ro?
Mimi nimezoea kumuita Daegil jina alilotumia kwenye Slave Hunters.
Hii chekacheka yake inakera mnoooo.
Yep Iris kacheza yeye mydear....kama nakuona unavyokereka akianza kucheka. Lakini unaionaje?
 
Yep Iris kacheza yeye mydear....kama nakuona unavyokereka akianza kucheka. Lakini unaionaje?
Ila mbona Iris alicheza serious sana?Hakuwa na ujingaujinga huu wa kuchekacheka.
Iris ni noma bwana,huwa naiweka daraja moja na City hunter na A man called God.
 
Hahaha na humo ni kucheka cheka tena! Naamini ndio ID yake aliyojiwekea ya kuigiza, lazima niitafute ila kama ni mbaya utalipa fine.
uyu jamaa alikua anaigiza filam za vichekesho (comedian) ndio maana anapendelea sana vichekesho. hizo muvi nlizotaja ni nzur kwakwel km ni mpenzi wa story iyo the merchant gaekju ni nzur sana na ina action pia umo yupo daeso yule wa kwenye jumong pia yupo yule star mwenzake w kwenye CHUNO (slave hunter), iyo ya shine or go crazy jina tu limejionyesha jamaa kaekt km mentally Prince n bonge la muvi na yote hayo ni ya mwaka 2015
 
muvi zangu 5 zilizo bora kabisa kutoka kwa awa watu ni.
1: THE LAND OF WIND (KINGDOM OF WIND).
2: JUMONG.
3: SLAVE HUNTER (CHUNO).
4: GU FAMILY BOOK.
5: GIANT.
ila katka zote czan km kna muvi inaifikia kw uzuri iyo ya THE KINGDOM OF WIND, hii ni muendelezo wa JUMONG ambapo mtoto wa prince jumong anaeitwa yulii amezaa mtoto anayeitwa muyuli mwenye sura na tabia km za babu yake (prince jumong) ndio star wa hyo muvi, hii ndio my best series movie
 
Any time mamaa ila hakikisha unakuja nazo na wewe
Kwa sasa sina hata moja ndio maana nahangaika maana nilihonga laptop yenye series na mtu huyo yupo mbali.Laptop yangu sasa hivi ni nyeupeeee haina hata moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…