Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Namaliza zangu Alchemy of souls ya jana nasubiri ya leo.

Weekend ijayo hakutakuwa na Alchemy of souls inaenda break kwa wiki moja itarudi tena tarehe 20&21

So tuitendee haki
 
Namaliza zangu Alchemy of souls ya jana nasubiri ya leo.

Weekend ijayo hakutakuwa na Alchemy of souls inaenda break kwa wiki moja itarudi tena tarehe 20&21

So tuitendee haki

Vipi inatazamika
Hawa young actors wakiigiza historical kuna namna naona hawatendei haki

Ila wote hao nlishatazamaga kazi zao za mjini wapo vizuri
 
Yumi cells ukiondoa kiss scenes(nazo zimepitiliza aiseee kheee robo saa nzimaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚) haina mpya imepooza bora wangeishia season 1 tu
 
Yumi cells ukiondoa kiss scenes(nazo zimepitiliza aiseee kheee robo saa nzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]) haina mpya imepooza bora wangeishia season 1 tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] stori yake ni ya kawaida sana. Mimi kinachonifanya niipende ni zile cells ambazo wewe huzipendi... binadamu tunatofautian sana [emoji16][emoji16]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚zile cells naziona katuni kama katuni nyingine yaan hata sizielewi. Katuni pekee inayoweza kunikalisha chini kwa muda ni tom na jerry,hizi nyingine zinazorembwa kwa jina la animation zilishanishinda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] stori yake ni ya kawaida sana. Mimi kinachonifanya niipende ni zile cells ambazo wewe huzipendi... binadamu tunatofautian sana [emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]zile cells naziona katuni kama katuni nyingine yaan hata sizielewi. Katuni pekee inayoweza kunikalisha chini kwa muda ni tom na jerry,hizi nyingine zinazorembwa kwa jina la animation zilishanishinda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah yaani mimi nazielewa sana yaani, kuna siku mtu alinikuta naangalia akaniambia mtu mzima unaangalia katuni? Yaani kwa idea uwepo wa zile cells naweza kusema Yumi's cells ndio drama yangu bora kwa mwaka 2022, it's so relatable [emoji1787][emoji1787]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kweli tumetofautiana
 
Wewe ni kesi maalum tulia pembeni. Mie naangalia kila kitu maana mb zenyewe zipo tele haina haja ya kubagua. Hivi inno kama drama tu unafanya hivyo misosi si mingi utakua na ugomvi nayo
Bibie hiyo ndio sababu inayonifanya kila nikitaka drama yoyote namtajia muhusika kwanza aina ipi nahitaji na ya namna gani kabla hajanipa drama
 
Wewe ni kesi maalum tulia pembeni. Mie naangalia kila kitu maana mb zenyewe zipo tele haina haja ya kubagua. Hivi inno kama drama tu unafanya hivyo misosi si mingi utakua na ugomvi nayo
Ni muhimu kufanya hivyo wewe si umeona mwenzako kaisifia Sana Yemi cell na anakwambia ni Kali kuliko drama zote zilizotoka mwaka huu lakini wewe ujaipenda kabisa so hapo uzuri wa drama inategemea na preference ya mtu, utanipinga lakini utakuja kwenye hoja yangu
 
Kwangu sio muhimu,cha muhimu ni kuongeza idadi ya drama nilizoangalia kuliko kubagua wakati hata sijawahi changia bajeti za drama zao. Siwezi kuelewa hoja zako tafuta mtu yoyote humu hawezi kukuelewa maana mb zenyewe za kumwaga hivyo hakuna hasara ya kuburudisha macho na roho kuangalia kila drama
 
Unaona ulivyo? Wapi nimesema ni bora kuliko drama zilizotoka mwaka huu? Nimesema ni drama bora kwangu kwa mwaka huu kwanza kwa drama zilizotoka mwaka huu nadhani nimeangali hiyo tu na Woori the virgin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…