[emoji16][emoji16][emoji16] watu wa nyumbani mwake bila shaka wanapata tabu sana.Wewe ni kesi maalum tulia pembeni. Mie naangalia kila kitu maana mb zenyewe zipo tele haina haja ya kubagua. Hivi inno kama drama tu unafanya hivyo misosi si mingi utakua na ugomvi nayo
Kama una mb za kumwaga ni sawa kufanya hivyo ila kwa sisi ambao tuna mb za budget ni ngumu kufanya hivyoKwangu sio muhimu,cha muhimu ni kuongeza idadi ya drama nilizoangalia kuliko kubagua wakati hata sijawahi changia bajeti za drama zao. Siwezi kuelewa hoja zako tafuta mtu yoyote humu hawezi kukuelewa maana mb zenyewe za kumwaga hivyo hakuna hasara ya kuburudisha macho na roho kuangalia kila drama
Hiyo ya kusema ni drama yako Bora kwa ulizoangalia mwaka huu sawa ila hiyo haikuwa hoja yangu kuu hoja yangu ni kwamba nimwambia Numbisa ukali wa drama upo kulingana na preference ya mtuUnaona ulivyo? Wapi nimesema ni bora kuliko drama zilizotoka mwaka huu? Nimesema ni drama bora kwangu kwa mwaka huu kwanza kwa drama zilizotoka mwaka huu nadhani nimeangali hiyo tu na Woori the virgin
Sasa wewe huwa unalazimishia drama yako unayoipenda kila mtu aipendeHiyo ya kusema ni drama yako Bora kwa ulizoangalia mwaka huu sawa ila hiyo haikuwa hoja yangu kuu hoja yangu ni kwamba nimwambia Numbisa ukali wa drama upo kulingana na preference ya mtu
Hoja yako kuu ni ubishi tu usio na maana pole kwa kushushuliwaKama una mb za kumwaga ni sawa kufanya hivyo ila kwa sisi ambao tuna mb za budget ni ngumu kufanya hivyo
Hiyo ya kusema ni drama yako Bora kwa ulizoangalia mwaka huu sawa ila hiyo haikuwa hoja yangu kuu hoja yangu ni kwamba nimwambia Numbisa ukali wa drama upo kulingana na preference ya mtu
Anajiona kakamilika kila idara pitia nyuzi zake hadi comments zake. Mie nilidhani hio topic ya preference zake ilishaisha kumbe aliniweka kiporo aje kupata point mbeleni daahπππππ[emoji16][emoji16][emoji16] watu wa nyumbani mwake bila shaka wanapata tabu sana.
Sasa wewe huwa unalazimishia drama yako unayoipenda kila mtu aipende
Silazimishi ninatoa sifa za hiyo dramaSana tu yaani anatabia ya kulazimisha kila anachokipenda yeye na wengine wakipende
Anajiona kakamilika kila idara pitia nyuzi zake hadi comments zake. Mie nilidhani hio topic ya preference zake ilishaisha kumbe aliniweka kiporo aje kupata point mbeleni daahπππππ
Silazimishi ninatoa sifa za hiyo drama
Hiyo CARTER mbona siipati Kimoi Tv?
Sarange,gabsonga,pegupaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah yaani mimi nazielewa sana yaani, kuna siku mtu alinikuta naangalia akaniambia mtu mzima unaangalia katuni? Yaani kwa idea uwepo wa zile cells naweza kusema Yumi's cells ndio drama yangu bora kwa mwaka 2022, it's so relatable [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani hiyo pegupa naisikia sauti ya hunger cell anavyosumbua kijijini akiwa anataka kulaSarange,gabsonga,pegupaa
Umeona eeeh?? Nafurahi kupata mshirika...bila kumsahau detective cell, naughty cell, writer cell, cheapskate (stingy) fashion cell, guard etcEmotion cells,reasoning cells,hungry cell,love cells, yumis cells tamu acha niendelee kucheka mi
[emoji16][emoji16][emoji16] halazimishi wapi kuna siku aliniambia nimpe sababu za msingi kwa nini nasema drama ile aliyoigiza Suzy na Lee seung gi sio nzuriPa basi na sie tumechat yetu nae Khantwe katoa yake ya moyoni sijaona sehemu tuliyolalamikiana
[emoji16][emoji16][emoji16] halazimishi wapi kuna siku aliniambia nimpe sababu za msingi kwa nini nasema drama ile aliyoigiza Suzy na Lee seung gi sio nzuri
Strong woman Do bong soonBackstreet rookie
I am not a robott
Ambaye anajua series za mfano huo anipe nyingine