Hahha naona watu wengi wanataka ivo
Mara wamlete Na in woo bingwa wa replcement
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eeh bado tupo nayoHee ina maana yumi inaendelea?
Naungana na wewe hapo kwenye ADAMAS, maana imeimbwa sana humu.Big mouth wapenda thriller em muichek japo ni ongoing
Uwiii yani nimeianza sijaiweka chini
Nimevuta carter na alchemy kuzifatilia Adamas na big mouth
Naona nimeanza kupamba moto
Jang Hyuk hajawahi kushirki kwenye kazi mbovu na ni miongoni mwa wakorea wanaovuta mpunga mrefu kwenye tasnia.Bloody Heart,,,,,,,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eeh bado tupo nayo
Naungana na wewe hapo kwenye ADAMAS, maana imeimbwa sana humu.
Noona wa kulialia na mapenziOh Yeon-Seo , haka kadada nakaelewa sana aiseeh.View attachment 2326322
Sijui nani alimshauri kuchukua role hii kwenye bloody heart....hajapendeza wala [emoji706][emoji706][emoji706]Jang Hyuk hajawahi kushirki kwenye kazi mbovu na ni miongoni mwa wakorea wanaovuta mpunga mrefu kwenye tasnia.
HIDEN ROOTS
SIX FLYING DRAGONS( nahisi ndiyo hiyo ya juu)
SHINE OR GO CRAZY
IRIS 2
THE VOICE
BLOODY HEART.
Kwenye hizo series zote( nilizobahatika kuziona) hajawahi kukosea.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] I know the pervert in you is not happy at all. Mimi navuta muda na bloody heart ninaposubiria nkiri....niliona kule kwenye channel yetu imepostiwa kwa mb chache nikasema ngoja nizame. Haina mvuto sana kwangu mimi labda kwa sababu ni mwanzoni, ndio niko episode ya tatuHee aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nipo na alchemy of soul ni tamuuu haina hata dalili za kiss scene lakini nimeipenda na wala siwazii romantic moments.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna hii Gold Mask aisee sijui kwa nn nimechelewa kuanza kuiangalia ni nzuri kinoma japo kuna character mwanzo² tu natamank niingie kwenye screen nimtie makofi
Daah mimi kumbe huwa nasoma vibaya, siku zote huwa nasoma 'the world of the married' ndio maana nilikuwa nai -ignoreNacheki movie ya kikorea inaitwa "the world of the unmarried"..... aiseee imejua kunikosha na kunipa raha... haipoi haiboi episode kwa episode
Umeipakua wapi?Hee aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nipo na alchemy of soul ni tamuuu haina hata dalili za kiss scene lakini nimeipenda na wala siwazii romantic moments.
Hahahah alchemy of soul ni nzuri sanaHee aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nipo na alchemy of soul ni tamuuu haina hata dalili za kiss scene lakini nimeipenda na wala siwazii romantic moments.
Ni "married" mimi ndo nimekosea kutype... ni nzuri sanaaaa and very realistic dramaDaah mimi kumbe huwa nasoma vibaya, siku zote huwa nasoma 'the world of the married' ndio maana nilikuwa nai -ignore
Hahahah alchemy of soul ni nzuri sana
Vipi ep ya 16 ishatoka