Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Me too hata main actor na actress sijawapenda nashangaa nikajikuta team concubine.
Sijui nani alimshauri kuchukua role hii kwenye bloody heart....hajapendeza wala [emoji706][emoji706][emoji706]

Unaionaje lakini

Zamani kabla ya kujua wasanii yani wakiigiza twins huwa napata vibe kabisa ni watu wawili tofauti, Ukubwa huu naona napigwa
Hako ka feeling ka kupigwa huna kanaua mood kabisa, ndomaana mimi huwa sipendi maonyesho yaliyozidishiwa uongo (vitu ambavyo kikawaida haviwezekani), mfamo drama kama LEGEND OF THE SEEKER.
 
Mie wanachoniuzi ni pale actress anateseka weee halafu episode za 40 huko anapata ka unafuu eti anasamehe yootee aliyotendewa. Yaani mie nimeteseka nae tangu mwanzo halafu yeye anasamehe kirahisi rahisi tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani inaumiza moyo namna female lead anavyopitia magumu natamani hata niingie nimbembeleze maana hadi episode ya 20 niliyofika nashukuru mie ni wa kiume,enzi zangu ningelia[emoji23][emoji23]
 
Hako ka feeling ka kupigwa huna kanaua mood kabisa, ndomaana mimi huwa sipendi maonyesho yaliyozidishiwa uongo (vitu ambavyo kikawaida haviwezekani), mfamo drama kama LEGEND OF THE SEEKER.

Yani ndo kinanikuta maana ji sung ndo namna yake ya kusolve hata kwa drama nyingine... so naona why wampe character zote mbili mtu mtu mwenye sifa ile ile

So far, niko nayo sambamba.
 
Mimi actress nampenda wee.... Seo in jae from startup [emoji7] hata actor naona hayuko vibaya

Ndo maana nilihisi nishawah muona
Na yuko bold itakua ndo faeture yake...

Bae jang hyuk hana baya ye hujibebea role yoyote[emoji2] hata kuwa loanshark ilimradi yupo kwa screen
 
Yaani inaumiza moyo namna female lead anavyopitia magumu natamani hata niingie nimbembeleze maana hadi episode ya 20 niliyofika nashukuru mie ni wa kiume,enzi zangu ningelia[emoji23][emoji23]
Oya kamanda nitajie drama Kali za mjini naona kwenye stock yangu zimeisha nahitaji nyingine huku pia kwenye ongoing nimeshazimaliza adamas na big mouth
 
Mie wanachoniuzi ni pale actress anateseka weee halafu episode za 40 huko anapata ka unafuu eti anasamehe yootee aliyotendewa. Yaani mie nimeteseka nae tangu mwanzo halafu yeye anasamehe kirahisi rahisi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa hiyo anatakiwa atushirikishe kwanza tulioteseka nae
 
Ndo maana nilihisi nishawah muona
Na yuko bold itakua ndo faeture yake...

Bae jang hyuk hana baya ye hujibebea role yoyote[emoji2] hata kuwa loanshark ilimradi yupo kwa screen
Yes naambiwa yupo na undercover ila nimejaribu kumtafuta humo simuoni kabisa... nadhani nahitaji kuitazama tena
 
Six Flying Dragons hivi yupo mle??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…