Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa sasa sina hata moja ndio maana nahangaika maana nilihonga laptop yenye series na mtu huyo yupo mbali.Laptop yangu sasa hivi ni nyeupeeee haina hata moja
Nina 'series' karibu zote za 'Historical dramas' na mpya. Inayooneshwa sasa ni nzuri ya "Hwarang - the beggining". Kikundi cha vijana kilichoanzishwa kumlinda Mfalme na ukoo wake.
 
Nina 'series' karibu zote za 'Historical dramas' na mpya. Inayooneshwa sasa ni nzuri ya "Hwarang - the beggining". Kikundi cha vijana kilichoanzishwa kumlinda Mfalme na ukoo wake.
Basi nitakutafuta unipatie hizo series
 
Nifah Unni anasema asante kwa mwongozo maana nae itabidi atumie muda wake kumsikiliza halafu alete mrejesho. Hapa naona pia utakuwa umemgusa Damushinmuhyool moja kwa moja maana ndio uwanja wake.
Vipi mtu wako wa kuchekacheka umeshamalizana nae? sijapata mrejesho wa machozi....
 
mara ya kwanza wakati namsikiliza mimi binafsi nilishangazwa na powerful voice yake kama michael bolton nakumbuka nilimtumia Prishaz amsikilize ila hajanipa mrejesho wowote,kiukweli nyimbo zake zote ni nzuri sana ila mimi nimeupenda zaidi ule unaoitwa confession.
 
Nyie mnatumia simu gani maana mimi nimeidownload lakini inaniletea video za youtube
 
Daah nlikuwa najiuliza wamepewa kiasi gani hadi kukubali kucheza muvi ya vile
 
Pitieni hapa, Wakuu!
Hapo mie nlishapita,
ndio nikapata movie isiyo na subtitle,
Nkakuabia then ukanipa link ya subtitle tupu,
Sasa najiuliza kuna echanism gani ya kuunganisha movie na subtitles zilizokua downloaded separately
 
Kumbe ndio story yake ipo hivyo? Hata haifai kuiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…