mimi binafsi niliitizama kwa dakika 30 tu hii movies ya frozen flower,kiukweli sikutegemeya mwanadada Song ji hyo (yesoya) kukubali ofa ya kucheza movie kama ile jinsi nilivyomuona kwenye jumong,crime squad,gye baek nilimchukulia kama ni mwanadada anayejiheshimu sana
pia hata sikutegemea kama huyu jamaa anayeitwa jo jin moo ambaye ameigiza drama kama vile bichunmo,my love eundong,empress ki naye ningemuona kwenye movie ile lakini ameshinda best actor kupitia ile movie ila wote wapo kazini tunapaswa kuheshimu maamuzi yao