Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Nitaitafuta,namkubali sana BidamYes ndio Bidam wa kwenye Queen seondeok uko sahihi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitaitafuta,namkubali sana BidamYes ndio Bidam wa kwenye Queen seondeok uko sahihi...
inaonekana maslahi yalikuwa mazuri kwa sababu budget nzima ya movie ilikuwa usd 10 millionDaah nlikuwa najiuliza wamepewa kiasi gani hadi kukubali kucheza muvi ya vile
kumbe si wa nchi hii na unaonekana unazo nyingi sanaLeo nilitumia muda wangu kumsikiliza Yim Jae Bum hasa OST yake iliyotumika kwenye series/drama ya slave hunters Stigma.
Hii ni moja kati ya my favorite OST ever,huwa inanifanya nitoe chozi nikiangalia hiyo drama.
Jamaa ana powerful voice,namkubali sana.
cc Prishaz Khantwe
Damushinmuhyool
hahahahahaaaaa hata mimi wakati naangalia shine or go crazy nilikuwa nachukia ile style yake ya kucheka na kujifanya kama ni bwege, ila jamaa ni mkali sana kwa martial arts naweza kusema kwa waigizaji wote wa korea yeye ni bora kwangu mimi.kwa sasa hivi amepata offer ya kuigiza drama inayoitwa voice ambapo anacheza kama ni detective (afande)Hahaha nimekumbuka slave hunter ni kweli itakuwa ndio swaga zake za uigizaji tumvumilie tu huyu ni Jang Hyuk, lakini hata mimi huwa namfananisha sana na Kim Nam-gil ambaye yuko kwenye bad guy...
hahahahahaaaaa hata mimi wakati naangalia shine or go crazy nilikuwa nachukia ile style yake ya kucheka na kujifanya kama ni bwege, ila jamaa ni mkali sana kwa martial arts naweza kusema kwa waigizaji wote wa korea yeye ni bora kwangu mimi.kwa sasa hivi amepata offer ya kuigiza drama inayoitwa voice ambapo anacheza kama ni detective (afande)
![]()
pia nakumbuka siku moja Nifah aliuliza je wakorea wanasoma script.
video inaonesha first script kusomwa katika drama ya voice january 2017
ThenkyuMy love from another star
prime minister and I.Msaada kwa wanaojua series za kikorea kali zaid nikimaanisha nzuri zaid ila na pendelea zziwe za mjini zisizo za action au history most na prefer za romance , fantasy, melody and comedy au medical drama pia napendelea drama za mijini sio kijijini naomba mnitajie majina kwa wanaozifahamu .
Be strong geum soonMsaada kwa wanaojua series za kikorea kali zaid nikimaanisha nzuri zaid ila na pendelea zziwe za mjini zisizo za action au history most na prefer za romance , fantasy, melody and comedy au medical drama pia napendelea drama za mijini sio kijijini naomba mnitajie majina kwa wanaozifahamu .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Napenda sana miziki ya kikorea,ipo emotional sana.kumbe si wa nchi hii na unaonekana unazo nyingi sana
kwanza nakushukuru ila nahisi umenipa heshima kubwa sana ila sina budi kupokea zawadi yako,Aigooo aigoooo JF nasi tuna kijiwe chetu cha kikorea.
Hahahah wakorea wa JF tukiongozwa na gwiji Damushinmuhyool
Asante sana mkuu kwa uchambuzi huu. Ama hakika huwa naumia sana nikisikia waigizaji niwapendao wanaenda kulitumikia jeshi.
Mwanzoni nilidhani ni wanaenda kwa hiyari kumbe ni sheria,safi sana.
Nitammiss sana Lee Min Ho na Kim Soo Hyun.
Vipi mkuu Bidam nasikia baada ya kulitumikia jeshi aliachana na kazi ya uigizaji na kuwa mjeshi kabisa,ni kweli?
ni yupi muimbaji wako bora nchini korea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Napenda sana miziki ya kikorea,ipo emotional sana.
Sasa kwa mtu emotional kama mimi you can imagine vile nawakubali.
Sasa usikute ktk series kuna scene ya majonzi halafu na OST ikawa ya majonzi...nitalia sana.
I love Koreans kwakweli.
Mianhada (pole),watu sasa hivi wanachanga pesa kwa ajili ya kutumia baadae ila mimi nataka nizihifadhi ili nipate kwenda kuhudhuria harusi ya Lee Min Ho na Bae Suzy siku itakayotangazwa tu nitakwenda japo kwa Bombardier haidhuru igome njianiAigooo aigoooo JF nasi tuna kijiwe chetu cha kikorea.
Hahahah wakorea wa JF tukiongozwa na gwiji Damushinmuhyool
Asante sana mkuu kwa uchambuzi huu. Ama hakika huwa naumia sana nikisikia waigizaji niwapendao wanaenda kulitumikia jeshi.
Mwanzoni nilidhani ni wanaenda kwa hiyari kumbe ni sheria,safi sana.
Nitammiss sana Lee Min Ho na Kim Soo Hyun.
Vipi mkuu Bidam nasikia baada ya kulitumikia jeshi aliachana na kazi ya uigizaji na kuwa mjeshi kabisa,ni kweli?
Hahahaha hiyo siku ikifika najitolea kukununulia Hanbok.Mianhada (pole),watu sasa hivi wanachanga pesa kwa ajili ya kutumia baadae ila mimi nataka nizihifadhi ili nipate kwenda kuhudhuria harusi ya Lee Min Ho na Bae Suzy siku itakayotangazwa tu nitakwenda japo kwa Bombardier haidhuru igome njiani
Bad guy sikupenda mwisho wake kabisaaa, hasa hukumu ya yule mama na Kim Nam gil alivyoishia. Ilitaka kuniudhi kama Iris 1kwanza nakushukuru ila nahisi umenipa heshima kubwa sana ila sina budi kupokea zawadi yako,
ila nimejaribu kuangalia katika soompi fans thread ya kim nam gil nimeona bado anafanya kazi yake ya uigizaji ila tokea arudi kutumikia jeshi 2013 ameigiza drama moja tu inayoitwa DONT LOOK BACK:THE LEGEND OF ORPHEUS (Shark) pamoja na mwanadada SON YE- JIN ambaye naweza kusema ndiye mkali wa comedy kwa wanawake kama umeangalia personal taste drama na movie ya ART OF SEDUCTION aliyocheza pamoja na Song Il Kook utakubaliana na mimi.
pia tokea arudi jeshini amecheza movies nyingi sana. unajua ile drama ya BAD GUY ilipaswa kuwa na episode 20 ila episode 3 zilipunguzwa kwa ajili ya kumfanya kim nam gil awahi kwenda kutumikia jeshi mwaka 2010
![]()
![]()
View attachment 469169