Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Napenda sana miziki ya kikorea,ipo emotional sana.
Sasa kwa mtu emotional kama mimi you can imagine vile nawakubali.

Sasa usikute ktk series kuna scene ya majonzi halafu na OST ikawa ya majonzi...nitalia sana.
I love Koreans kwakweli.
Sasa wewe hatutofautiani kabisa, nikiwa naangalia scene ya majonzi iambatane na ost ya majonzi mimi naishia kulia tu, na zile msg wanazoandikaga kama wosia ndio basi tena.
Kuna wakati nasema nitaacha kuangalia wakorea lkn najikuta nawamiss!
.
 
Iris 1&2
A man called god
Three days
2 weeks
Ghost
May queen
Golden cross
A man's story
Big man
City hunter
Monster

Best korean drama in no particular oder
 
Aigooo aigoooo JF nasi tuna kijiwe chetu cha kikorea.
Hahahah wakorea wa JF tukiongozwa na gwiji Damushinmuhyool

Asante sana mkuu kwa uchambuzi huu. Ama hakika huwa naumia sana nikisikia waigizaji niwapendao wanaenda kulitumikia jeshi.
Mwanzoni nilidhani ni wanaenda kwa hiyari kumbe ni sheria,safi sana.

Nitammiss sana Lee Min Ho na Kim Soo Hyun.

Vipi mkuu Bidam nasikia baada ya kulitumikia jeshi aliachana na kazi ya uigizaji na kuwa mjeshi kabisa,ni kweli?
hahah Aigooo Anjumaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna yoyote alieangalia THE DUO?? nataka niangalie sijajua kama nzuri au laah na humu sijaona mkiongelea
 
f6c8283dd18a90fdf7ab241c59a8342f.jpg

9345f4158162b928f228eaf3895a0746.jpg

Watching this season the so-called THE K2.
Then utanipa mrejesho.
 
mkuu msaada wa link nitakayoweza kupakua drama ya kikorea inayoenda kwa jina la Arrows on the bowstring, kwenye hizo links ulizoweka sikupitia zote ila nimeitafuta bila mafanikio
Kama uko Arusha njoo tufanye biashara..ninayo yote (complete)
 
Back
Top Bottom