Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mimi movies zenye meneno mengi bila story yenye kueleweka huwa sina muda kabisa, ndiomaana sijawahi kukaa kufuatilia family drama zaidi ya GOLDEN RAINBOW.

Genre nazopenda ni :-

-Suspense
-Thriller
-Crime & Investigation
-Melodrama

Hivyo vitatu vyaa juu vikiungana, drama lazima ikae sawa.
 
Mkuu tuna taste sawa Sana nimetoka kuimaliza big mouth episode ya 10 huyu director wa hii drama ni fundi haswa by the way mpaka sasa hiv hii drama kwangu ni best kwa Huu mwaka ingawa ni ongoing naomba tu wasiharibu huko mbele. Mkuu kama una list ya drama Kali nitajie maana stock imeisha
 
Wanavyoitamka hiyo Mudeok sasa [emoji23].

Mimi nataka nione hatima ya yule Shaman Choi aliyehamishia nafsi yake kwenye mwili wa Queen, kisha nione hatma ya haka kajamaa maana bado sijaishusha 19.View attachment 2338895
Huyo Mzee nuksi sana kama anatumia kizizi yaani kuna vitu vya ajabu anavifanya waziwazi ila hashtukiwi

Tusubiri Part 2 nadhani Naksu ndio kiboko yake japo round hii alimtupia magic iliyompoteza akili
 
Kuna Alchemy of souls halafu kuna ile attorney woo na big mouth... unaweza kujikuta unaacha drama yako unayoangalia ukazirukia manake sio kwa sifa hizi
Hahahah nimetoka kushusha episode 10 za big mouth

Shukrani kwa ha tunnel spidi ya mwendokasi

Kitonga oyeee!!!

Hio attorney woo nitaivuta kesho [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Episode zote.

Shukrani kwa Numbisa kwa desa uliotupa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…