Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Mimi movies zenye meneno mengi bila story yenye kueleweka huwa sina muda kabisa, ndiomaana sijawahi kukaa kufuatilia family drama zaidi ya GOLDEN RAINBOW.Mwamba upo kama mimi sijui hawa wanaoipa hiyo movie hizo sifa kwasababu ipi movie imekaa computer iliyopitiliza, story ya kawaida binafsi nilishindwa kabisa kuimaliza nikaamua niifute.Kutokana na kuwa tuna ladha zinazofanana nakushauri usitafute hiyo attorney woo itakuchosha haipo serious ni comedy zile zakujitoa akili
Genre nazopenda ni :-
-Suspense
-Thriller
-Crime & Investigation
-Melodrama
Hivyo vitatu vyaa juu vikiungana, drama lazima ikae sawa.