Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kumbe ndio story yake ipo hivyo? Hata haifai kuiona.
Yah seriously haifai ila inavyoanza itakuvutia unajikuta umefka katkat ndipo unaona bwana mfalme anapakatwa.
halafu jina lake frozen flower utafikiri sijui nini
 
Ukiwa too connected na waigizaji hawa wa nje utaumia sana maana wao wanaweza igiza chochote kasoro wahindi ndio uwa wanakataa filam kibao za hollywood wakiwekwa scenes za mapenzi mfano yule mwanadada alikataa offer ya kuigiza troy mwingine alikataa fast and furious 7
 
Hotel King vipi ni nzuri? Niipakue.
Nzuri lakini siyo action ni story flani ina mauaji ndani yake na kugombea mali na bila kukosa mapenzi.
kama wapenda action za town tafuta three days
 
Kweli mkuu daah ila haya mambo hayazuiliki unajikuta unampenda tu mtu yaani kiasi ukiona anafanya madudu unaumia
 
Kweli mkuu daah ila haya mambo hayazuiliki unajikuta unampenda tu mtu yaani kiasi ukiona anafanya madudu unaumia
Haha sure, mimi nilikuwa najiandaa anza check prison break ndipo nikasikia jamaa punga nkaghair sijawah itazama mpaka leo.
usije shangaa siku moja unamuona bidada lupita nyogo naye analiwa.
halafu movie star wars hii mpya imetoka nimemuona kwenye trailer...
 
Halafu sikiwahi itazama mpaka mwisho ilifika mahali nikaanza ona uvivu kuendelea nilipopata three days na the next three days
Mimi mwenyewe mwanzoni niliona uvivu. Kama mara tatu hivi niliiacha nikaja kuangalia baadae baada ya kuangalia zingine
 
Mimi mwenyewe mwanzoni niliona uvivu. Kama mara tatu hivi niliiacha nikaja kuangalia baadae baada ya kuangalia zingine
Mimi niliangalia almost 2/3 ya epsodes zote sema sijui kwanini sikuimaliza.
hivi ile movie ya sex is zero wale wakorea au wachina?
 
Hahaha nimekumbuka slave hunter ni kweli itakuwa ndio swaga zake za uigizaji tumvumilie tu huyu ni Jang Hyuk, lakini hata mimi huwa namfananisha sana na Kim Nam-gil ambaye yuko kwenye bad guy...
Hivi huyu star wa kwenye bad guy si ni yule Binam..kwenye series flan queen star ni demu Deukuman kama sijajosea
 
Mnaopenda moviea za.mazombie

Train.to busan

Ipo pouwa sana
 
Hahaha ndio maana nikasema ndio uwanja wako....mrejesho nauweka vizuri ili nikiuleta uwe umekamilika nipe muda kidogo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…