Ni ngumu sana kuobadili nature, pesa huflow kutoka ME kwenda KE in a whatever mean.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule ukishakuwa public figure basi unakuwa ni mali ya wakorea wote na ni kawaida yao kuingilia mpaka maisha binafsi, ndiomaana wengi huishia kujiua tu.ngajo tusingizie bad taste maana sio kwa mbaba yule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ila wakorea wambea jamani hawataki wenzao wadate na kuwa na happy life
Umeshindikana wewe[emoji1].Lips lips za actor nikizielewa tu nakua nshaona kiss scene inavyonoga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lee Seung Gi,mbona anafit sana kwenye comedy Ushaangalia Law Cafe?Kwa muonekano wake anafaa serious character ni sawa ni ji sung wa vagabond umuweke kwenye comedy naona kama atakuwa kituko
Hivi hiki cha asubuh huwa mna connect vipi?Cha asubuiView attachment 2372798
Huyu mwamba namkubaligi sana,yani ni best villain sema huwa anapendelewa sana na madirector[emoji23]
Nilimuona kwenye innocent defendant,penthouse na saivi tena kwenye little women inshort yuko vizuri[emoji119][emoji119]View attachment 2376248
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Humjui huyo naeLee Seung Gi,mbona anafit sana kwenye comedy Ushaangalia Law Cafe?
Halafu hii miwani kila drama anayo au kwenye maisha yake halisi anavaa miwani?Huyu mwamba namkubaligi sana,yani ni best villain sema huwa anapendelewa sana na madirector[emoji23]
Nilimuona kwenye innocent defendant,penthouse na saivi tena kwenye little women inshort yuko vizuri[emoji119][emoji119]View attachment 2376248
Ni movie au series?HUNT ni balaa na nusu. Hziyech22 umecheki hilo dude?
Jamaa anajua kazi hasa akipewa role ya adui anaipatia kupitilizaHuyu mwamba namkubaligi sana,yani ni best villain sema huwa anapendelewa sana na madirector[emoji23]
Nilimuona kwenye innocent defendant,penthouse na saivi tena kwenye little women inshort yuko vizuri[emoji119][emoji119]View attachment 2376248
Yule mtoto wake wa kwenye Itaewon sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787], kwenye Yumi's cells ni mtu mwingine mimi wakati naangalia hata sikumjua
Little women ep 10 [emoji91][emoji91]
Fight for my way
One doller lawyer
Law cafe
My list hiyo
Upo vizuri hapo hasa fight for my way maana ipo complete
ngajo tusingizie bad taste maana sio kwa mbaba yule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ila wakorea wambea jamani hawataki wenzao wadate na kuwa na happy life
Huu umbea umenipita Soompi hawajauweka