Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] alikuwa kila akiongea sentensi anamalizia na 'yoo' sijui hii nayo ni lahaja ya wapi, niliona Mudeok pia kwenye Alchemy of souls anaitumia
 
Drama tunaangalia zote muhimu iwe nzuri. Habari ya ku-label watu na drama za aina fulani ushindwe kabisa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] alikuwa kila akiongea sentensi anamalizia na 'yoo' sijui hii nayo ni lahaja ya wapi, niliona Mudeok pia kwenye Alchemy of souls anaitumia
Dialect ya countryside kama Busan,Gwangju n.k ukiangalia drama kama Youth Of May,Hometown Cha Cha Cha,Once Upon A Small Town utasikia sana lafudhi hiyo
 
Lemno ndo lee mihno ama maana nae yupo kwenye hio city hunter. Huwa naburudika sana nikipita nyuzi wanapondea wanaoangalia vikorea kwa ujumla halafu nikija humu nakuta mashujaa kama wewe wanaoshabikia baadhi ya vikorea na kuwaona wengine wanapoteza muda kuangalia hivyo hivyo vikorea😂😂😂
 
Inasikitisha sana aisee!!
 
[emoji23][emoji23] halafu inavyoendelea inazid kunoga

Mari kamatch vizuri n jihun jaman kuliko kwenye The Veil
raha ya script imuongoze muigizaji na isiwe kinyume chake.
Namgoong min wa humu ndani yupo tofauti kabisa na yule tuliyemuona ndani ya stove league, doctor prisoner na the veil drama.

mischievous.

episode 4 walipotembelea ofisi ya babu yake binti marishi kama anavyomwita mwenyewe, akakutana na logo ya kampuni inaitwa BAEK:

akaunganisha dot mpaka kwa baek mari, binti katika kujitetea akatoa mifano ya BAEK ji YOUNG hadi baek seungsoo,
alipotajwa baek seung soo bwana cheon ji hun akashituka na baadae akamuuliza baek mari:

cheon ju hun: huyo baek seung soo umemjuaje
baek mari: alikuwa ni character katika stove league drama
cheon ji hun: hiyo drama natamani iendelee season 2 yake

daemushin: akawa na tabasamu huku akiwa ameshikilia simu yake ya tekno M3
talnam hapo uliachwa katika huo mjadala?
dont tell me
 
Aina yake ya kuigiza huwa naona anajiamini mpaka anapitiliza viwango vya kujiamini. angekua bongo ungesema yeye ndo actress,director,makeup artist, stylish, etc yaani kama akina ray kigosi vile
ha ji won hajawahi kuni impress
project zake nyingi nimeziepuka sijui kwa sababu gani.

haya nimeshatangaza vita na bwana Ziyech22
 
ha ji won hajawahi kuni impress
project zake nyingi nimeziepuka sijui kwa sababu gani.

haya nimeshatangaza vita na bwana Ziyech22
[emoji23][emoji23][emoji23]hata mimi sinaga moto nae sijui kwa sababu anavyojikutana mgumu.

Type zangu ni akina Han Hyo Joo,Han Ji Min,Seo Hyun Jin,Lee Da Hee,Yoo In Na na akina noona wengine wenye charms zao[emoji16]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Noma sana
 
Ebwana eeh kuna actresses wazuri aisee utafikiri hawavuti hii oxyven tunayovuta sisi wao wana pro max.[emoji23]

Kuna huyo mmoja kaniacha speechless [emoji1316][emoji23][emoji23]
 

Hapana sikuachwaa

Mari alimalizia hata we hujui itatoka lini[emoji1787][emoji1787]

Dah nlifurahi sanaa kama nilikua character mule
Na ujue stove league ndo nilimjua Nam goo min ingawa nilimfata Park Eun Bin kutoka kwenye Do you like brahms
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…