raha ya script imuongoze muigizaji na isiwe kinyume chake.
Namgoong min wa humu ndani yupo tofauti kabisa na yule tuliyemuona ndani ya stove league, doctor prisoner na the veil drama.
mischievous.
episode 4 walipotembelea ofisi ya babu yake binti marishi kama anavyomwita mwenyewe, akakutana na logo ya kampuni inaitwa BAEK:
akaunganisha dot mpaka kwa baek mari, binti katika kujitetea akatoa mifano ya BAEK ji YOUNG hadi baek seungsoo,
alipotajwa baek seung soo bwana cheon ji hun akashituka na baadae akamuuliza baek mari:
cheon ju hun: huyo baek seung soo umemjuaje
baek mari: alikuwa ni character katika stove league drama
cheon ji hun: hiyo drama natamani iendelee season 2 yake
daemushin: akawa na tabasamu huku akiwa ameshikilia simu yake ya tekno M3
talnam hapo uliachwa katika huo mjadala?
dont tell me