Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sasa wewe hatutofautiani kabisa, nikiwa naangalia scene ya majonzi iambatane na ost ya majonzi mimi naishia kulia tu, na zile msg wanazoandikaga kama wosia ndio basi tena.
Kuna wakati nasema nitaacha kuangalia wakorea lkn najikuta nawamiss!
.
 
Iris 1&2
A man called god
Three days
2 weeks
Ghost
May queen
Golden cross
A man's story
Big man
City hunter
Monster

Best korean drama in no particular oder
 
hahah Aigooo Anjumaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna yoyote alieangalia THE DUO?? nataka niangalie sijajua kama nzuri au laah na humu sijaona mkiongelea
 
mkuu msaada wa link nitakayoweza kupakua drama ya kikorea inayoenda kwa jina la Arrows on the bowstring, kwenye hizo links ulizoweka sikupitia zote ila nimeitafuta bila mafanikio
Kama uko Arusha njoo tufanye biashara..ninayo yote (complete)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…