Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Seoulmates tunaendelea na maombolezo ya roho za watu zilizopotea hapo jana


#PrayForItaewon
 
Nimepitwa na hii kulitokea nini?japo google ipo tupe tu habari
Kwenye sherehe za Halloween jana Seoul zaidi ya watu 140 wamekufa kwa cardiac arrest na kukosa pumzi kutokana na msongamano katika mitaa ya Itaewon na inasemekana kulikuwa na watu zaidi ya laki moja,ni halali aisee

Pia wengine zaidi ya 150 wapo chini ya uangalizi maalum.
 
Hmmmh hiyo stuation omba isikukute au ikikukuta basi uwe na namna ya kuukataa msongamano kwa haraka ili ufike sehemu yenye hewa.

Inafikia hatua unaona kabisa pumzi haikutoshi ila sasa uwezekano wa kuutoka msongamano ili uende sehemu yenye hewa inakuwa ni mgumu, ilinikuta 2014 nilisukuma watu kwa nguvu bila kujali ninawajanyanga au laah ilimradi nifike tu kwenye hewa.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Next week nitakuwa Dodoma- ILAZO, njoo ucopy maana haziko kwenye mfumo wa CD.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So sad. May their soul Rest In Peace. 🙏🙏
 
Shukrani sana
 
Wakuu mwenye kujua hii Movie ya KUNDO inapopatikana naomba aniwekee link hapa. Maana nimeona imesifiwa na watu wenye taste kama yangu.

Natanguliza shukurani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…