Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Shukrani sana.
#RudiNyumbaniKumenoga
Unataka SMS, Dakika au MBs?Shukran haitoshi bwana embu fanya mpango huko Nyumban
Hii ni weka mbali na watoto na ni ndefu sana alafu episode zote za moto. Ilikuwa inanifanya nilale saa kumi na nikienda kazini kila wakati ni kunywa kahawa tu.Hii King Dae jo Yeong moto sana episode ya kwanza tu mzuka mwingi,View attachment 2406086
Yah haipoi ,halafu wakali ninaowajua wa muvi za pori za kihistoria wengi wapo mule .Wahusika wa King Gwangaeto ndio wamesheheni sana.Hii ni weka mbali na watoto na ni ndefu sana alafu episode zote za moto. Ilikuwa inanifanya nilale saa kumi na nikienda kazini kila wakati ni kunywa kahawa tu.
Hii picha nimeshangaa kukuta mkao makuu ya Gugryo ni Pyongyang wakati nimezoea capital kukuta ni 'Gugnaseon' hii imekaa vipi mtaalamu Daemushin ?Hii ni weka mbali na watoto na ni ndefu sana alafu episode zote za moto. Ilikuwa inanifanya nilale saa kumi na nikienda kazini kila wakati ni kunywa kahawa tu.
sina uelewa wa kihistoria juu ya hayo mabadiliko ya royal palace.Hii picha nimeshangaa kukuta mkao makuu ya Gugryo ni Pyongyang wakati nimezoea capital kukuta ni 'Gugnaseon' hii imekaa vipi mtaalamu Daemushin ?
ni bora tumpe kifungo cha roho mbaya, asitumie neno shukrani ndani ya thread hiii mpaka pale GB 1 itakapouzwa kwa shilingi 100.Shukran haitoshi bwana embu fanya mpango huko Nyumban
binafsi nilishituka nilipouona muonekano wake wa kike....Nipo nayo sambamba, wakat wana mreveal prince gyesoung nikaona Netflix wanapenda sana huu mrengo lakini angalau haijawa deep au sijui ndo nishaanza kuzoea
prince muan anatuwakilisha vijana wa ovyo wanaokula na kuvaa bure kwa msaada wa wazee.Prince muan na somo la mahusiano na vituko vya kuwaongoza wenzie kutoroka mjengoni(jamaa anafurahisha ana hamu sana muda ufike aoe akafaidi maisha na mkewe nje ya mjengo.
ni bora tumpe kifungo cha roho mbaya, asitumie neno shukrani ndani ya thread hiii mpaka pale GB 1 itakapouzwa kwa shilingi 100.
shukrani yake tutainasibihisha na shukrani ya punda milia
binafsi nilishituka nilipouona muonekano wake wa kike....
kwa bahati mwishoni mwa episode 3 wakatuangushia ujumbe mahususi kwa jamii kuwaheshimu watu wenye mtazamo tofauti na ule uliozoeleka.
nikashusha pumzi, nikajua hii stori haitoelekea tena katika muelekeo huu nilioudhania
itakuja siku au kipindi wale wote wenye matarajio, mtazamo tofauti na ule uliozoeleka hawatohitaji kujificha tena
hapa walilengwa zaidi jamii ya LGBT ndani ya korea kusini na kwengineko
prince muan anatuwakilisha vijana wa ovyo wanaokula na kuvaa bure kwa msaada wa wazee.
muda wote tunawaza tendo la ndoa na starehe nyenginezo
Best drama ila ilinishinda kwa sababu ya muigizaji mkuu.Niko na beyond evil
aliacha barua mlangoni kwa binti kichomi...Na kaanza kukataliwa mdogo[emoji1787] si yatamtesa sana.
Seongnam is Baeee[emoji56]
yule binti aliyekutana naye pharmacy ni mtoto wa waziri wa ulinzi.Seongnam is Baeee
Best drama ila ilinishinda kwa sababu ya muigizaji mkuu.
Ipo siku nitairejea tena.
Popote ninapomuona amejawa na makasiriko kana kwamba kapokonywa hawara.
Anaitwa shin ha kyun
View attachment 2406713
aliacha barua mlangoni kwa binti kichomi...
Binti alipotoka akamtandika kibao bwana bonge na kuichukua barua ya bwana prince...
usiniambie umesahau
yule binti aliyekutana naye pharmacy ni mtoto wa waziri wa ulinzi.
Kitakachofuata ni kufunga ndoa ya kisiasa, kumbuka baba yake ni pro queen dowager.
Kivyovyote itamlazimu malikia aunganishe nguvu na bwana waziri ili waweze kumsambaratisha chief councillor pamoja na queen dowager