Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Aiseeh kwenye Kdrama kuna comedy zinafurahisha sana.[emoji23]

Hapa hawa commoners walikuta msosi ambao ulibakizwa na nobles, sasa kutokana na msosi kunukia vizuri tofauti na waliyozeo, jamaa mmoja kati ya hao wawili akasema "No wonder watu huwa wanasema haja kubwa za nobles huwa zinanukia vizuri"

Mwenzake akachagiza kwa kusema kama inavyoonekana kwenye picha[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaa
 
Hio pisi haimfai haina misimamo na pia itamsumbua sana. Bora apate mwingine
Ile pisi inampenda ila vikwazo kadhaa tu ndio vinakwamisha mapenzi yao.

Sema dogo kaambiwa kuna wanawake wawili atatakiwa kumchangua mmoja wa hatma yake,usije kuwa pisi inayompenda Bro wake
 
Mbuzi kafia kwa muuza supu😂😂😂😂View attachment 2409410
wenzake wote wanaelekea kukamilisha mission walizopangiwa kuzitekeleza lakini bwana prince kuna uwezekano hata mission aliopangiwa ameshaisahau.

bwana prince alipoambiwa huyo mwanamke atampa zawadi ambayo hata kwa thamani ya pesa hatoweza kuinunua akaona mhhhhhhhh!!!!!!!

ngoja nimrudie mchepuko wangu.
nikimuona huyu bwana nafsi yangu huwa na mteremko wa furaha kuliko maji yanayotiririka katika mto Numbisa.


kuna prince hodong a.k.a kibonge mashavu, mama yake anasema eti bwana prince kwa siku anakula kutwa mara tano.
amevunja rekodi ya mbuzi meeeee!!!!!
aliposifiwa dumpling na young prince, akaona ohoooo haya mambo ya kushindania nafasi ya crown prince ni bora niachane nayo.
 
Taratibu ship inaanza sailing[emoji16]View attachment 2409404
Umenikumbusha hizi moments ..

Lady Jungwa & Yum_moon

Halafu akashindilia msumari wa mwisho kikatili mno ,Mwanangu Yum_moon the Pirate haijawahi kupenda chochote zaidi ya huyo manzi.


Wakati huyu huzuni kwengine furaha General Hae_mosu alivyokutana na Lady Yuhwa kea mara ya kwanza baada ya mika 20 huku ikidhaniwa General ameshafariki .Mambo yalikuwa mazuri sana kwa upande wao.
 

Attachments

  • Screenshot_20220313_171631.jpg
    32.5 KB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…