Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Eti mtu anamaind Jiji la Seoul kutajwa kila drama wakati ndio set kubwa hiyo[emoji23][emoji23]

Akitaka local aangalie Our Blues mule Seoul haijaguswa kabisa.

Pia anatafuta vitu vya Kimarekani ndani ya Korean Dramas[emoji1787]
 
Hii inakuja pale series yako kali inaposhambuliwa, ila taste ni kitu cha kawaida mi kuna series kali zinasifiwa na watu wengi ila nimecheki ata kwa kuforce nimeshimdwa
Ni kweli, halafu mtu kutokuipenda drama fulani haina maana ya moja kwa moja kuwa hiyo drama ni mbaya.
 
Msamehe ameteleza tu harudiii tena [emoji1]
 
Nataka series kali yenye mkono na mapanga ya kutosha nii dowload, ukiacha hizi ambazo nimeshatazama
Six flying dragons
Alchemy of souls
Dong yi
Flower in prison
Warrior dong so
Queen sendeok
Land of wind
Jumong
Gu family book
Scholar who walk at night
Diary of night watchman
Royal secret agent
Tale of nakdu

Medical dramas isipokua
Doctor strager
Doctor lawyer
Doctor prisoner
Good doctor
Blood
 
Medical Dramas

Romantic Doctor:Teacher Kim S1&2
Heart Surgeons
Medical Top Team
Life
Brain
golden time
New Heart
Doctors
 
Warrior baek dong soo,

Hii series imenikataa😂😂 mwakani ntaiwekea nguvu nyingi
 
Series za mkono na mapanga: The Great seer na Slave hunter.

Medical drama:
Yong-Pal용팔이
Emergency couple.
Live up to your name.
 
Ningekupendekezea ila naogopa nisije nikakutajia drama zenye comedy au jina Seoul limetajwa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Bichumo hii haina kupoa ,fupi episode kama 30 hivi , stori kali , action kali unaenjoy..
 
Lakini zina comedy. Na hizo Medical si utakutana na Seoul mkuu na wewe ukiona hilo jina unasikia kichefuchefu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hizo ni errors ndogo ndogo haziwezi kuondoa uhondo, comedy nazipenda ila zikizidi sana zinapunguza ladha hasa ukute movies ni ya u serious
Mfano kitu cha Iris kingekua na ma comedy mengi kisingekua chuma kama kilivo
 
Hizo ni errors ndogo ndogo haziwezi kuondoa uhondo, comedy nazipenda ila zikizidi sana zinapunguza ladha hasa ukute movies ni ya u serious
Mfano kitu cha Iris kingekua na ma comedy mengi kisingekua chuma kama kilivo
Kwa hiyo Iris imetokea Hollywood si ndio? Maana ulisema wakorea wanaweka comedy nyingi hata kwenye serious movie? Ushauri wangu ungebakia hukohuko Hollywood unakoridhika na kazi zao kwa asilimia zote

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Single movies huwa ndio naangalia nyingi za hollywood , series nyingi naangalia za korea , ni katika namna ya kuchanganya ladha, kufanya comparison sio dhambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…