Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Niaje wakuu kama kawa kama dawa. Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka 2022 nimeona niorodheshe kdrama Top 10 kwa mwaka huu,yaani hizi ndizo drama bora kwangu kwa mwaka huu👇🏿

1: Alchemy of souls
Genre; Fantasy, historical,romance,comedy

2: Never give up
Genre; family,comedy

3: Golden Spoon
Genre; drama,fantasy

4: Eve
Genre; Drama,thriller

5: Insider
Genre; Action,drama,spy

6: Big Mouth
Genre;drama,comedy,spy

7: Under the Queen umbrella
Genre; romance,comedy

8; Ghost Doctor
Genre;Medical

9: All of us are dead
Genre;zombie,drama

10:Juvinnile court
Genre: Law

hizo ndizo kdrama zilizonikosha zaidi mwaka huu,kindly drop down zako pia.
Fanya kuni rate apo kwenye comment😂😂maana watu wa taste najua mtafika tu.

Copywrite@Taegon (26/12/2022)
 
Hapo nimeangalia Big mouth na Alchemy of souls1. Mimi nashindwa kuweka za mwaka huu maana nimeangalia chache... Nimeangalia nyingi za miaka ya nyuma

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Dah! Kwa mwaka huu Mie hapo nimeona moja tu All of us are dead.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…