Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Six flying dragons ni moto..!!!
Tangu niangalie Emperor of the Sea sijawahi kutana na historical drama ya Kikorea iliyosimama kama hii..!
hahahaaaa hiyo series ni konyo hatari...........panga znachezwa kwa akili na mahesabu
wale matween niliwapenda bure na yule dada na style zake
 
Kuna Korean series moja inaitwa JANG GIL SANG.. Please itafute hiii!!
It's one of the best
Nimejaribu kuigoogle kidogo,story yake imenivutia sana...
Lakini nimejaribu kuitafuta kissasian.com nimeikosa...
Wewe uliipata wapi mkuu..!?
 

Jumong na Emperor of the Sea kwangu ndiyo mujarabu kabisa.
 
mtafute huyu jamaa anaitwa jo sung mo. Ni ballad singer ila utakapo msikiliza lazima uwe umeshiba kwa sababu huenda ukasamehe kula kutokana na sauti yake, wakati namtumia Prishaz nilimwambia aniletee mrejesho ila tumepoteana sijui amekutana na makonda.
ila wakorea ni wabishi sana
 
Hahahaha hiyo siku ikifika najitolea kukununulia Hanbok.
hahahahahahaaaaaaaaaaa mimi nataka uniletee siku ya harusi yangu (inshaa allah) na vazi langu itakua ni hilo.watu wananisubiri bwana harusi msikitini wananikuta nimevaa vazi la mfalme Taejo (yi seong gye)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…