scalethat
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 1,063
- 1,898
hahahaaaa hiyo series ni konyo hatari...........panga znachezwa kwa akili na mahesabuSix flying dragons ni moto..!!!
Tangu niangalie Emperor of the Sea sijawahi kutana na historical drama ya Kikorea iliyosimama kama hii..!
wale matween niliwapenda bure na yule dada na style zake