Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Six flying dragons ni moto..!!!
Tangu niangalie Emperor of the Sea sijawahi kutana na historical drama ya Kikorea iliyosimama kama hii..!
hahahaaaa hiyo series ni konyo hatari...........panga znachezwa kwa akili na mahesabu
wale matween niliwapenda bure na yule dada na style zake
 
Kuna Korean series moja inaitwa JANG GIL SANG.. Please itafute hiii!!
It's one of the best
Nimejaribu kuigoogle kidogo,story yake imenivutia sana...
Lakini nimejaribu kuitafuta kissasian.com nimeikosa...
Wewe uliipata wapi mkuu..!?
 
Nimekuwa mpenzi mkubwa sana wa Korean Historical Drama...
Kwakweli huwa navutiwa sana nikiziangalia...
Historical Drama ambazo nimefanikiwa kuzitazama mpaka sasa ni;

  • Jumong
  • Land of wind
  • Emperor of the sea
  • Dream of the emperor
  • God of war
  • Kim Soo Ro
  • Gye Baek
  • Dae Jo Yeong
  • Gu Family Book
  • Warrior Baek Dong Soo
  • Slave Hunter
  • King Gwanggaeto
Kama kuna Korean Historical Drama kali ambayo umeshaitazama na sijaitaja hapo juu itaje tafadhali ili niitafute..!

Jumong na Emperor of the Sea kwangu ndiyo mujarabu kabisa.
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Napenda sana miziki ya kikorea,ipo emotional sana.
Sasa kwa mtu emotional kama mimi you can imagine vile nawakubali.

Sasa usikute ktk series kuna scene ya majonzi halafu na OST ikawa ya majonzi...nitalia sana.
I love Koreans kwakweli.
mtafute huyu jamaa anaitwa jo sung mo. Ni ballad singer ila utakapo msikiliza lazima uwe umeshiba kwa sababu huenda ukasamehe kula kutokana na sauti yake, wakati namtumia Prishaz nilimwambia aniletee mrejesho ila tumepoteana sijui amekutana na makonda.
ila wakorea ni wabishi sana
upload_2017-3-2_21-7-35.jpeg
 
Hahahaha hiyo siku ikifika najitolea kukununulia Hanbok.
hahahahahahaaaaaaaaaaa mimi nataka uniletee siku ya harusi yangu (inshaa allah) na vazi langu itakua ni hilo.watu wananisubiri bwana harusi msikitini wananikuta nimevaa vazi la mfalme Taejo (yi seong gye)
grid-cell-15204-1415114683-3.jpg
 
Back
Top Bottom