Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kumbe na wewe unajua vitu vikali aisee vengeance of the bride ni Kali mno kwanza nilivyomuona tu yule dada ambaye ndio main character nikajua tu itakuwa ni Kali maana yule dada fundi Sana na nilivutika nae kwenye dangerous promise alicheza vizuri Sana.
 
Safari yangu ya kuangalia korean drama kwa mwaka 2023 huenda ikaanza leo, natumai haitokuwa safari yenye njia iitwayo chukizo.

“Divorce Attorney Shin” drama : will tell the story of a talented divorce lawyer punnily named Shin Sung Han (the word shinsunghan means “sacred” in Korean).

starring ni cho seung woo na han hye jin (soseono)
ndani ya JTBC kila jumamosi na jumapili
 
Park Hana anabadilika huwezi kumpenda kwenye kila drama ukiangalia The Heavenly Promise na Young Lady And Gentleman utatamani umchape makofi
 
Nilidownload episodes za mwanzo sikubahatika kuziangalia,kama ni moto nitaanza kuiangalia hivi karibuni
 
Kwani amecheza uhusika gani nimekuwa mshabiki wake gafla maana kule kwa ha ji won madirector wanampa kazi mbovu mpaka nashindwa kuangalia kazi zake zingine
Hizo dramas kacheza kama Antagonist/Villain.

Pia Actor yoyote anatakiwa kuwa versatile hata akipewa role acheze kichaa lazima afit,Ha Ji Won haangushwi na directors labda ni storyline tu maana kila siku ukitaka acheze strong itakuwa boring hasa kwa Muigizaji wa kike,nafuu wa kiume kidogo afadhali.

Kim So Yeon tangu acheze roles ya Kim Seon Hwa kwenye IRIS nadhani umeona drama zake nyingine na Im Soo Hyang pia kwa sasa sio yule Yeon Hwa wa IRIS 2 na Inspiring Generation

Sifa ya Muigizaji inatakiwa iwe hiyo kuitendea haki nafasi anayopewa pia uwezo wa kubadilika awe nao sio kila siku astick na character moja.

Kuhusu Ha Ji Won haangushwi na directors labda yeye tu hawezi kufit kwenye roles tofauti anazopewa.
 
So far toka 2023 ianze drama hizi ni muhimu kuzipa macho
1.love to hate you
2.crash course in romance
3.call it love
4.interest of love
5.strangers again
Kama ni mnazi wa kdrama unaweza angalia pia
1.payback:money and power
2.Heavily idol
3.our blooming youth
Drama ambayo haieleweki 2023 ni Kokdu season of deity
Watu wa ongoing
#Delivery man
#Taxi driver 2
#Attorney shin
NB;DRAMA NYINGI HAPO JUU NI ONGOING CHACHE NDIO ZISHAKAMILIKA
 
Mimi napenda drama ambayo ina story nzuri, yenye matukio ya amsha amsha, ambayo haina utoto either kama ni ya mapenzi au serious ilimradi isiwe nautoto, pili sizipendi drama zinachezwa na teenager's bila kujali story ikoje, sipendi zenye maudhui ya shule.kama kuna drama zenye vigezo nilizokutajia naomba unitajie
 
me naweza vipi ku download hizi drama kwenye computer!?
ukitaka udownload series nyingi za kikorea mwenyewe bila usumbufu ni wewe na sim au PC yako na bando lako, nenda website inaitwa KISSASIAN

LINK: -


RECOMMENDED

1. VINCENZO --- MOTO WA KUOTEA MBALI
Vincenzo English Sub | KissAsian


2. CRASH LANDING ON YOU
Crash Landing on You English Sub | KissAsian

3. IT'S OKAY TO NOT BE OKAY
It's Okay to Not Be Okay English Sub | KissAsian

4. MY LOVE FROM ANOTHER STAR
You Who Came from the Stars English Sub | KissAsian

5. THE K2 --- MOTO MWINGINE HUU
The K2 English Sub | KissAsian

6. ALL OF US ARE DEAD
All of Us Are Dead English Sub | KissAsian

7. WEAK HERO CLASS 1
----Kama unapenda kuona mtu anatwangwa ngumi darasani mpaka kifo basi hii ndo yenyewe. hawafichi kitu humu

Weak Hero Class 1 English Sub | KissAsian

Zipo nyingine nyingi kali kinoma.... Nitakua najitahidi kurecommend


PEACE !!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…