Hilo ni jibu pigia mstariInaonekana unamkubali sana huyu Ha Ji Won.
π π ππππππ
Inawezekana kajamaa kameshazima huko walaqhi', kule hawezi kwenda mpaka baada ya week nadhani..
Weak Hero Class 1ukitaka udownload series nyingi za kikorea mwenyewe bila usumbufu ni wewe na sim au PC yako na bando lako, nenda website inaitwa KISSASIAN
LINK: -
KissAsian Official - Watch drama online in high quality
Watch drama online in high quality. Free download high quality drama. Various formats from 240p to 720p HD (or even 1080p). HTML5 available for mobile deviceskissasian.li
RECOMMENDED
1. VINCENZO --- MOTO WA KUOTEA MBALI
Vincenzo English Sub | KissAsian
2. CRASH LANDING ON YOU
Crash Landing on You English Sub | KissAsian
3. IT'S OKAY TO NOT BE OKAY
It's Okay to Not Be Okay English Sub | KissAsian
4. MY LOVE FROM ANOTHER STAR
You Who Came from the Stars English Sub | KissAsian
5. THE K2 --- MOTO MWINGINE HUU
The K2 English Sub | KissAsian
6. ALL OF US ARE DEAD
All of Us Are Dead English Sub | KissAsian
7. WEAK HERO CLASS 1
----Kama unapenda kuona mtu anatwangwa ngumi darasani mpaka kifo basi hii ndo yenyewe. hawafichi kitu humu
Weak Hero Class 1 English Sub | KissAsian
Zipo nyingine nyingi kali kinoma.... Nitakua najitahidi kurecommend
PEACE !!!!!!
nilihitaji ugali madame khantwe, hata hivyo nakushukuru kwa ofa yako ya ramyeon (tambi).Do you want some ramyeon?
kuna filamu ya kikorea inaitwa One Fine Spring Day, ni project ya mwaka 2001 iliowakutanisha lee young ae akiwa bado msichana mdogo na mvulana anayeitwa Yoo ji tae.Do you want some ramyeon?
Hii drama dahπ’ ilinitia hasira sanaAngalia When a man falls in love
Mwandiko wako naufananisha na wa mtu fulani (simtaji)nilihitaji ugali madame khantwe, hata hivyo nakushukuru kwa ofa yako ya ramyeon (tambi).
navutiwa zaidi na upishi wa tambi za sukari, baba yangu hupenda sana kuandaliwa nyakati za mfungo wa ramadhani
tafadhali niandalie aina hiyo.
==================
kuna filamu ya kikorea inaitwa One Fine Spring Day, ni project ya mwaka 2001 iliowakutanisha lee young ae akiwa bado msichana mdogo na mvulana anayeitwa Yoo ji tae.
lee young ae alimualika yoo ji tae katika himaya yake, ndipo bidada lee akamuuliza Yoo.
do you want some ramyeon?
tokea hapo mara nyingi sentensi hiyo kupitia maigizo tofauti (crash landing on you, what happened to secretary kim, etc) imekuwa ikitumika kwa ajili ya kuweka wazi uvutio au uwazi kwa mtu umuhitajie kwa wakati husika.
ni sawa na kumtamkia
unahitaji kunywa kahawa?
unaweza kuendelea kubaki hapa?
imagine majira fulani, umekaa na mwenza anakutamkia maneno hayo,
anachohitaji ni zaidi ya kahawa.
ni wewe unayetamkiwa na uelewa wako
mwenzako amefall in love
Ra-myeon meog-go kal-lae?"
Daaah, kwa jinsi ambavyo nilikuwa nimewatambia kule baada ya first half, nilijua kabisa ningekutana na spana za hatari kule, tangu siku ya mechi sijarudi lile kujwaa[emoji23][emoji23][emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeibukia huku turudi kule home sweet home kwa akina red devils tukaugulie maumivu Carleen karibu soju
Hata wewe unanisagia kunguni?[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inawezekana kajamaa kameshazima huko walaqhi', kule hawezi kwenda mpaka baada ya week nadhani..
Daaah, kwa jinsi ambavyo nilikuwa nimewatambia kule baada ya first half, nilijua kabisa ningekutana na spana za hatari kule, tangu siku ya mechi sijarudi lile kujwaa[emoji23][emoji23][emoji23].
Sema sikuhizi umelitenga sana jukwaa, hakuna tena zile GIF za magoli siku ya mechi.
Sawa Ahjumma.πππππππTatizo la GIF bando la uhakika. Ila nitajaribu mbeleni kuleta kiaina
Yaani ach tu ndugu yangu yaani hunifikii mimi nilivyokasirishwa. Imesababisha hata Shin se kyung simpendi walah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii drama dah[emoji22] ilinitia hasira sana
π€£π€£π€£π€£π€£Yaani ach tu ndugu yangu yaani hunifikii mimi nilivyokasirishwa. Imesababisha hata Shin se kyung simpendi walah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi Leo na jana kitonga cha Airtel kimenigomeaWadau mwenye kitonga cha asubuhi Ttcl naombeni maelekezo PM
Juseyoooo.
Mimi Leo na jana kitonga cha Airtel kimenigomea
Wadau mwenye kitonga cha asubuhi Ttcl naombeni maelekezo PM
Juseyoooo.
πππ dah ππΏ unatamani kuingia kwenye screen kumzibua mtuπYaani ach tu ndugu yangu yaani hunifikii mimi nilivyokasirishwa. Imesababisha hata Shin se kyung simpendi walah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]