Reality ya young actors
Team moonlight wamechangamka na kuzoeana fasta kuliko team zingine. Ila drama yake pia tamu sana
Ongoing zinazonipa burudani
Three bold siblings ep 50
The love in your eye ep 118
Je umeicheki big mouth?
Thank you21st century girl
Remember
Hizo nazokumbuka majina
Mambo ya taste ni magumu...Mimi binafsi kwa Attorney Woo sikujutiaKuna mtu ameziona hizi series
"Glitch" na "Extraordinary Attorney Woo"
Naombeni muongozo nisije nikachoma MB zangu
Sawa mkuuNaianza this week mkuu nitatoa mrejesho
Ngoja niiangalie episode moja kwanzaMambo ya taste ni magumu...Mimi binafsi kwa Attorney Woo sikujutia
Huyu kyung soo wa itaewon anachekesha na aibu zake[emoji1787]
Alafu nae mu handsome balaa
Halafu sasa kakutana na comedian wake dong yeon(cheiii nimeanza kuwashika majina,enzi hizo ningeita bodyguard wa crown prince[emoji23][emoji23][emoji23])
Mbeleni(nje ya reality) nahisi kutakuwa na project(kuigiza drama )ya in youp na you jung
kisha Bo gum na kwon na ra
Ila dong yeon alikua anachekesha sema ye anacheka sanaa
Alaf naona na yo jung kama wanajaliana sana au ndo tangu itaewon
Bo gum yuko lovely kama katoto
Nampendaga sana.
Se joon ni free mind anaropokwa[emoji23]
Mnavyoyataja hayo majina sasa, utafikiri nyie ni Wakorea [emoji28][emoji28]Yoo jung wa moonlight, member wa hilo group wamechangamka na wamezoeana since day one ndo maana mission yao ya kwanza kusaka pesa walipata nyingi.
Yupo free mwenyewe hana baya na mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bo gum
se joon kitupwa kwenye maji mara moja tu akatamani kirudi kwao,sipati picha angekuwa kwenye nafasi ya in youp[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Khantwe unakosa uhondo vuta basi hii reality tujadili vizuri. Yupo baby wa yumi aliekuwa anazichangamsha zile cell's
Ni kweli taste tunatofautiana,ukitaka kufaidi drama usihadisiwe sana chamsingi ukipewa recommendation angalia moja kwa moja wewe ndio utaamua drama kuwa nzuri au mbayaMambo ya taste ni magumu...Mimi binafsi kwa Attorney Woo sikujutia
Mnavyoyataja hayo majina sasa, utafikiri nyie ni Wakorea [emoji28][emoji28]
Turkish nyingi zipo youtubeNiaje wakuu naombeni torrent sote ya kudownload hizi korean drama na turkish series
Angalia Parasite hutajutiaGuys, mimi napenda single movies za Kikorea .. naomba kwa yeyote anayefahamu movie kaliii anipe taarifa wakuu
Ina twist nasikia labda ndion uzuri wakeMambo ya taste hayo, acha wahusika wasikie[emoji23]
Nilijaribu kuangalia reality round hiiYah wana vibe wote wamekutana waongeaji sana ila Kim Yoo Jung ukimuona kama innocent flani akianza kuongea Mzaramo haoni ndani.
Nilijaribu kuangalia reality round hii
Boys planets nikachemka EP2 [emoji1787][emoji1787] kweli sio kila kitu mtu unaweza angalia