Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Yoo jung wa moonlight, member wa hilo group wamechangamka na wamezoeana since day one ndo maana mission yao ya kwanza kusaka pesa walipata nyingi.

Yupo free mwenyewe hana baya na mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bo gum

se joon kitupwa kwenye maji mara moja tu akatamani kirudi kwao,sipati picha angekuwa kwenye nafasi ya in youp[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Khantwe unakosa uhondo vuta basi hii reality tujadili vizuri. Yupo baby wa yumi aliekuwa anazichangamsha zile cell's

Hahhah muendelezo wa se joon ndo nataka nishushe hapa

Ila bora hawakumrusha sana chang wook sijui ile sura aliiweka ni kama angetoa tusi[emoji1787]
 
Wiki hii ongoing zinazoanza
1.the secret romantic guest house/washapandisha EP1 ni historical
2.the real has come

Ongoing ambazo zipo vizuri
1.pandora beneath the paradise /action & siasa& visasi
2.divorve attorney shin/vibe za ki law drama
3.taxi driver s2/crime
4.Call it love/ wapenzi wa melodrama imetulia sana picha zake zinamuonekano wa pink filter
5.Delivery man/ fantasy inaendele vizuri
6.The heavenly idol/fantasy inaisha wiki hii
7.our blooming youth / historical makini kuna mahali nimeona wanasema ni copy and paste ya kings affection
Aliyeona kings affection? Ni kweli?au
8.Oasis/vibe za miaka ya 1970-1980s lovestory &siasa n.k
Hii ipo kitofauti sana mandhari/mazingira yake yanaonekana ya miaka70s na 80s

NB Wakorea drama za 2023 round hii wanaishia EP 12-16 hawafiki 20 sijui kwanini

Hapo natizama divorce attorney shin ambayo kiaina inafanana na one dollar lawyer

Heavenly idol sema acha iishe nivute nguvu kiaina ina utoto

Enjoying the ride na Tax driver tena naona religious cult ni issue ya kiulimwengu atleast wameipresent poa maaana….

Nimeona Kings affection hiyo nyingine sijaona
Ila ntajarib, kuna drama zinaweza kufanana ila zikaleta vibe tofaut kulingana na actors
 
Wameona watu wengi wapo brainwashed na dini,zingine ni utapeli tu!
 
Yoo jung wa moonlight, member wa hilo group wamechangamka na wamezoeana since day one ndo maana mission yao ya kwanza kusaka pesa walipata nyingi.

Yupo free mwenyewe hana baya na mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bo gum

se joon kitupwa kwenye maji mara moja tu akatamani kirudi kwao,sipati picha angekuwa kwenye nafasi ya in youp[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Khantwe unakosa uhondo vuta basi hii reality tujadili vizuri. Yupo baby wa yumi aliekuwa anazichangamsha zile cell's
Aah mniache bwana mi sitaki[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila mnavyosimuliana hivi natamani sema basi tu ndio vile sitaki nataka. Hiyo show ndio inaitwa young actors? Nkiri ipo?
 
Wiki hii ongoing zinazoanza
1.the secret romantic guest house/washapandisha EP1 ni historical
2.the real has come

Ongoing ambazo zipo vizuri
1.pandora beneath the paradise /action & siasa& visasi
2.divorve attorney shin/vibe za ki law drama
3.taxi driver s2/crime
4.Call it love/ wapenzi wa melodrama imetulia sana picha zake zinamuonekano wa pink filter
5.Delivery man/ fantasy inaendele vizuri
6.The heavenly idol/fantasy inaisha wiki hii
7.our blooming youth / historical makini kuna mahali nimeona wanasema ni copy and paste ya kings affection
Aliyeona kings affection? Ni kweli?au
8.Oasis/vibe za miaka ya 1970-1980s lovestory &siasa n.k
Hii ipo kitofauti sana mandhari/mazingira yake yanaonekana ya miaka70s na 80s

NB Wakorea drama za 2023 round hii wanaishia EP 12-16 hawafiki 20 sijui kwanini
Hizo ndio nzuri sasa. We unataka episode 20 za nini? Siku hizi mimi hata episode 16 naona uvivu kupakua
 
Ni kweli taste tunatofautiana,ukitaka kufaidi drama usihadisiwe sana chamsingi ukipewa recommendation angalia moja kwa moja wewe ndio utaamua drama kuwa nzuri au mbaya
Hii ilinikuta kwenye innocent defendant,the glory n.k
NB Kuangalia ongoing raha sana sababu ukiona drama mbaya unaitosa tu,kuliko kushusha mzigo wote wa complete drama[afu mbovu][emoji1787][emoji1787]
Mimi ongoing nyingi huwa simalizi au namaliza kwa tabu sana
 
Nilijaribu kuangalia reality round hii
Boys planets nikachemka EP2 [emoji1787][emoji1787] kweli sio kila kitu mtu unaweza angalia

Hizo za Mnet ep za Mwanzo ngumu kuzielewa maana ndo wanaanza kwaivisha

Check peak time

Mimi reality za mziki ndo ugonjwa wangu

Mr Trot 2 hawaja i sub nachukia ila naisubir maana hii genre ipo so refreshing
 
Wiki hii ongoing zinazoanza
1.the secret romantic guest house/washapandisha EP1 ni historical
2.the real has come

Ongoing ambazo zipo vizuri
1.pandora beneath the paradise /action & siasa& visasi
2.divorve attorney shin/vibe za ki law drama
3.taxi driver s2/crime
4.Call it love/ wapenzi wa melodrama imetulia sana picha zake zinamuonekano wa pink filter
5.Delivery man/ fantasy inaendele vizuri
6.The heavenly idol/fantasy inaisha wiki hii
7.our blooming youth / historical makini kuna mahali nimeona wanasema ni copy and paste ya kings affection
Aliyeona kings affection? Ni kweli?au
8.Oasis/vibe za miaka ya 1970-1980s lovestory &siasa n.k
Hii ipo kitofauti sana mandhari/mazingira yake yanaonekana ya miaka70s na 80s

NB Wakorea drama za 2023 round hii wanaishia EP 12-16 hawafiki 20 sijui kwanini
Hiyo pandora beneath the paradise nimeikubali ipo vizuri nimemaliza episode 3 zote za moto.
 
Aah mniache bwana mi sitaki[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila mnavyosimuliana hivi natamani sema basi tu ndio vile sitaki nataka. Hiyo show ndio inaitwa young actors? Nkiri ipo?

[emoji1787][emoji1787]

Mimi naishushia dramanice
Sikuizi nataka kitu cha 720/1080p maana kitonga kiko fire

Ila karibu ulimwengu wa realities tena wew una humor za kikorea naona uta relate sana
 
Back
Top Bottom