Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

😂😂😂😂😂😂Ndio nkiri ipo inaitwa young actors retreat. Reality zinazoletwa nkiri ndo nazipenda zaidi
Aah mniache bwana mi sitaki[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila mnavyosimuliana hivi natamani sema basi tu ndio vile sitaki nataka. Hiyo show ndio inaitwa young actors? Nkiri ipo?
 
Extraordinary Attorney Woo
Wazee wa Action, thriller, horror, Romance, Sci-fi, etc chonde chonde, nisiwaone huku, hii drama haiwahusu[emoji23][emoji23]
Uzuri nina advantage kuwa ninapenda kila genre ya muvi au series, iwe action, comedy, thriller au genre yoyote ile naangalia, ilimradi tu iwe kali
Screenshot_20230321-131609~2.jpg
 
Ni kweli taste tunatofautiana,ukitaka kufaidi drama usihadisiwe sana chamsingi ukipewa recommendation angalia moja kwa moja wewe ndio utaamua drama kuwa nzuri au mbaya
Hii ilinikuta kwenye innocent defendant,the glory n.k
NB Kuangalia ongoing raha sana sababu ukiona drama mbaya unaitosa tu,kuliko kushusha mzigo wote wa complete drama[afu mbovu][emoji1787][emoji1787]
Mimi huwa sishushi drama yote, huwa navuta mojamoja. Kwahiyo mpaka ep ya 04, nikiona siielewi drama naiacha.
 
Mie nilichagua genre za kula zaidi napenda kuona vyakula mbali mbali vya wakorea. Pia natumia sana nkiri hivyo itakayoletwa nkiri naidaka kama ilivyo
Lee seung gi atahost reality ya kuhusu story telling ni upcoming ntakuja jarbu hiyo ntaipenda labda kwakuwa lee seung gi ni favourite actor kwangu
 
[emoji1787][emoji1787]

Mimi naishushia dramanice
Sikuizi nataka kitu cha 720/1080p maana kitonga kiko fire

Ila karibu ulimwengu wa realities tena wew una humor za kikorea naona uta relate sana
Hivi vitonga mbona kwangu huwa havikubali? Tangu nianze kucheki Kdramas sijawahi kabisa kuupata uhondo wa kitonga.

Emagine drama ya Ep 60 unakimbizana nayo kwa normal data charges, nikipata nitakuwa nimeokoka sana[emoji1].
 
Extraordinary Attorney Woo
Wazee wa Action, thriller, horror, Romance, Sci-fi, etc chonde chonde, nisiwaone huku, hii drama haiwahusu[emoji23][emoji23]
Uzuri nina advantage kuwa ninapenda kila genre ya muvi au series, iwe action, comedy, thriller au genre yoyote ile naangalia, ilimradi tu iwe kaliView attachment 2560408
Nishaishusha hii huyu attorney ndio ana aspeger's/ autistic spectrum?
 
Extraordinary Attorney Woo
Wazee wa Action, thriller, horror, Romance, Sci-fi, etc chonde chonde, nisiwaone huku, hii drama haiwahusu[emoji23][emoji23]
Uzuri nina advantage kuwa ninapenda kila genre ya muvi au series, iwe action, comedy, thriller au genre yoyote ile naangalia, ilimradi tu iwe kaliView attachment 2560408
Tuko pamoja mkuu [emoji1666][emoji1666][emoji1666] wanachama wengine ni talnam Numbisa
 
Back
Top Bottom