Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!


Hahhah muendelezo wa se joon ndo nataka nishushe hapa

Ila bora hawakumrusha sana chang wook sijui ile sura aliiweka ni kama angetoa tusi[emoji1787]
 

Hapo natizama divorce attorney shin ambayo kiaina inafanana na one dollar lawyer

Heavenly idol sema acha iishe nivute nguvu kiaina ina utoto

Enjoying the ride na Tax driver tena naona religious cult ni issue ya kiulimwengu atleast wameipresent poa maaana….

Nimeona Kings affection hiyo nyingine sijaona
Ila ntajarib, kuna drama zinaweza kufanana ila zikaleta vibe tofaut kulingana na actors
 

Wameona watu wengi wapo brainwashed na dini,zingine ni utapeli tu!
 
Aah mniache bwana mi sitaki[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila mnavyosimuliana hivi natamani sema basi tu ndio vile sitaki nataka. Hiyo show ndio inaitwa young actors? Nkiri ipo?
 
Hizo ndio nzuri sasa. We unataka episode 20 za nini? Siku hizi mimi hata episode 16 naona uvivu kupakua
 
Mimi ongoing nyingi huwa simalizi au namaliza kwa tabu sana
 
Nilijaribu kuangalia reality round hii
Boys planets nikachemka EP2 [emoji1787][emoji1787] kweli sio kila kitu mtu unaweza angalia

Hizo za Mnet ep za Mwanzo ngumu kuzielewa maana ndo wanaanza kwaivisha

Check peak time

Mimi reality za mziki ndo ugonjwa wangu

Mr Trot 2 hawaja i sub nachukia ila naisubir maana hii genre ipo so refreshing
 
Hiyo pandora beneath the paradise nimeikubali ipo vizuri nimemaliza episode 3 zote za moto.
 
Aah mniache bwana mi sitaki[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila mnavyosimuliana hivi natamani sema basi tu ndio vile sitaki nataka. Hiyo show ndio inaitwa young actors? Nkiri ipo?

[emoji1787][emoji1787]

Mimi naishushia dramanice
Sikuizi nataka kitu cha 720/1080p maana kitonga kiko fire

Ila karibu ulimwengu wa realities tena wew una humor za kikorea naona uta relate sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…