Nishaishusha hii huyu attorney ndio ana aspeger's/ autistic spectrum?
Hivi vitonga mbona kwangu huwa havikubali? Tangu nianze kucheki Kdramas sijawahi kabisa kuupata uhondo wa kitonga.
Emagine drama ya Ep 60 unakimbizana nayo kwa normal data charges, nikipata nitakuwa nimeokoka sana[emoji1].
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alaf kuna siku nimekutana na mkaka mwenye autism kama ya attorney woo
Tena ameitwa akafanye kazi nyeti
Alivyotoka wakawa wanamsifia alivyo mbobevu maswala ya mitandao
Yan nae anahesab hadi vidole kwanza
Icho kichwa kuongea kama woo young woo
Ah nikajikuta kama nayajua yote kisa wakorea[emoji1787]
[emoji16][emoji16]
Mimi nikishasifiaga ndo kinagoma em tutaste mitambo hadi kesho[emoji16]
Lakin data charges unanunua? Mi huwa nafunga safar kwenda sehem za wi-fi kitonga kikiyayusha
Mimi Queen seondeok nili- stream na bando pia, nashangaa sasa hivi drama ya episode 20 naikimbiaMoja kati ya dramas ambazo zimekula hela yangu ni Queen Seondeok, DONG YI, Empress Ki, DAE JANG GEUM.
Ngoma zina episode 60, kwahiyo kila nilipokuwa nazianza nilishindwa kabisa kuziacha.
Yeah.... Ndio hiyohiyo[emoji108][emoji106][emoji16][emoji16]Nishaishusha hii huyu attorney ndio ana aspeger's/ autistic spectrum?
Mimi drama yoyote nikiielewa nakomaa nayo, maana sijawahi kunufaika na kitonga hata kimoja.Mimi Queen seondeok nili- stream na bando pia, nashangaa sasa hivi drama ya episode 20 naikimbia
Kwenye MB ukiwa na kitonga cha asubuhi huwezi kuwaza kuhusu hasara ni mwendo wa kupakua tuMimi drama yoyote nikiielewa nakomaa nayo, maana sijawahi kunufaika na kitonga hata kimoja.
Sema nakuwa selective sana ili kuepuka kupoteza MB's, natafuta drama ambazo zipo highly rated, na navuta episode mojamoja.
Mimi mwenzenu Song hye kyo sionagi kama ni mzuri kivileee...au ndio yaleyale mambo ya taste[emoji16][emoji16]Ongoing sikai nazo mbali mwaka huu wamejua kunikosha historical dramas sio haba huku Our Blooming Youth then pembeni Secret Romantic Guest House(imeanza jana na inaonekana kali)
Shin Ye Eun ni byuti byuti aisee anafaa kuchukua nafasi ya Song Hye Kyo kwa wale Beauty Goddesses
이상한 변호사 우영우.
Wanaume na wanawake tunaona tofauti[emoji23]Mimi mwenzenu Song hye kyo sionagi kama ni mzuri kivileee...au ndio yaleyale mambo ya taste[emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaume na wanawake tunaona tofauti[emoji23]
Ni kipaji na kukaa mda mrefu kwenye tasnia tu ila sio mzuriMimi mwenzenu Song hye kyo sionagi kama ni mzuri kivileee...au ndio yaleyale mambo ya taste[emoji16][emoji16]
Kwamba sio mzuri kabisa? Uzuri ni mzuri lakini mimi naona kama sio kwa level hiyo anayoelezewa. Hata hivyo nimemuelewa mdau aliesema wanaume na wanawake tunaona tofautiNi kipaji na kukaa mda mrefu kwenye tasnia tu ila sio mzuri
Ee wanazidisha chumviKwamba sio mzuri kabisa? Uzuri ni mzuri lakini mimi naona kama sio kwa level hiyo anayoelezewa. Hata hivyo nimemuelewa mdau aliesema wanaume na wanawake tunaona tofauti
Ni kipaji na kukaa mda mrefu kwenye tasnia tu ila sio mzuri
😁😁✊🏿 hapo kwenye empress ki nili stream online drama nzima🙌🏿🙌🏿 nasijawahi jutia kbs👏🏿👏🏿Moja kati ya dramas ambazo zimekula hela yangu ni Queen Seondeok, DONG YI, Empress Ki, DAE JANG GEUM.
Ngoma zina episode 60, kwahiyo kila nilipokuwa nazianza nilishindwa kabisa kuziacha.