Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mimi hii style yake ya kupasua nywele kati naona inamfanya ana kichwa kirefu upande mmoja

Halaf kwenye the glory na now we are breaking up… facial expression ina huzuni sana sijui ndo ku embrace character au inaanzia ndani ndani
I knew it[emoji23]

Kwenye Drama mbili zilizopita hasa The Glory unaona kabisa maji ya jioni sura imeanza kukomaa miaka 41 si kidogo.

Fanboys tunamzungumzia yule wa 20's na early 30.

Hata Jun Ji Hyun naye alikuwaga mzuri ila ukiangalia Jirisan kashakomaa uso hana maajabu tena.

Umri si rafiki

Sema nyie mna bahati na akina Lee Min Ho wenu[emoji23]
 
Khaa ila wakaka wa kikorea watraam aisee. Sasa hivi nipo kwenye mahusiano na Lee jung shin na Jimin [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na mniache
 
Khaa ila wakaka wa kikorea watraam aisee. Sasa hivi nipo kwenye mahusiano na Lee jung shin na Jimin [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na mniache
Umeangalia watoto wa waliopo 20's wewe au ungekuwa unafuatilia K-Pop hao actors ungewakataa maana huku ni noma,ila katika Idols nisiowapenda pale BTS ni Jimin nachukia muonekano wake na namna anavyoilegeza sauti kama mdada.

Anyway pichani ni My dongsaeng Eun Soo [emoji7]
 
[emoji16][emoji16][emoji16] tokapa... Sababu zako za kutompenda Jimin hazina mashiko nadhani ni kwa sababu huoni ninachoona mimi. Kpop nawafuatilia BTS tu na hata hao wengine huwa nawaona sana tu sema ndio hivyo kila shetani na mbuyu wake
 
[emoji1787][emoji1787] fanboy imebid tu ujitetee

Mali mpya kali mbona zipo

Alafu sa ingine sio umri tu mbona oh Nara, Jang Nara na Jihyo bado wakali

Nadhani ni mavipodozi ila kwa hye kyo yani sipati feeling ya umri wala vipodozi ila nadhan ndio expression yake [emoji22]
 
Khaa ila wakaka wa kikorea watraam aisee. Sasa hivi nipo kwenye mahusiano na Lee jung shin na Jimin [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na mniache

Jimin wa BTS?
Mule namuelewa V sijui ndo J hope [emoji1787]

Ila idol wengi bhana wasipokua na makeup unaweza kuwakataa

My new baby Ahn Bo hyun
Mpaka pale kim seonho ataporudi[emoji16]

Tunaupdate list kila mwenzi wakienda jeshin tunabadilisha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi sio jeshini tu nikiangalia drama mbili tatu na- update list. V ni yule aliyeigiza kwenye Hwarang kama umeangalia...mie nawapenda wote ila Jimin anawazidi wenzie kidoogo.
 
Hata sijaiona
Naonaga kama kama wana majina mawili mawil
Jimin wako suga na jangkook hao ndo si wapotei

Huyu wangu nadhan ye ndo mbaya ana sura ya kiume [emoji2960]
 
Weee jidanganye Nara na Jihyo washakongoroka.

Mimi now nipo nastan watoto wa under 30 tu japo hao wengine nawakubali kazi zao
 
Hata sijaiona
Naonaga kama kama wana majina mawili mawil
Jimin wako suga na jangkook hao ndo si wapotei

Huyu wangu nadhan ye ndo mbaya ana sura ya kiume [emoji2960]
Huyo wako atakuwa Suga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wana majina mawili na wengine wamefupisha yaleyale
RM.... Kim nam joon
V....Kim tae hyung
Jin.... Kim seokjin
Jhope.... Jung hoseok
Suga.... Min yoongi
Jimin...Park Jimin
Jungkook... Jeon Jungkook
 
Huu uzi leo mateso tupu. Naangalia majina yaliyotajwa naenda kuwasaka google nione sura zao.. Kati ya wakaka na wababa wootee wa kikorea ambae simuelewi ni yule role model wa daemushin a.k.a mzanzibar. Staring wa jumong💃💃💃💃💃
 
Hakunga kitu kinanivutia kama kuona Actress katinga long dress huwa wanapendeza japo wao wanapendaga kuvaa nguo fupi halafu maskini ya Mungu wengine nyama hawana hasa Lee Da Hee kaenda hewani basi akivaa nguo fupi huwezi kujua paja linaanzia wapi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sema nguo fupi ni tastes za Wanaume wa Kikorea[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…