Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,411
- 3,077
I knew it[emoji23]Mimi hii style yake ya kupasua nywele kati naona inamfanya ana kichwa kirefu upande mmoja
Halaf kwenye the glory na now we are breaking up… facial expression ina huzuni sana sijui ndo ku embrace character au inaanzia ndani ndani
Kwenye Drama mbili zilizopita hasa The Glory unaona kabisa maji ya jioni sura imeanza kukomaa miaka 41 si kidogo.
Fanboys tunamzungumzia yule wa 20's na early 30.
Hata Jun Ji Hyun naye alikuwaga mzuri ila ukiangalia Jirisan kashakomaa uso hana maajabu tena.
Umri si rafiki
Sema nyie mna bahati na akina Lee Min Ho wenu[emoji23]