Nadhani ungempa kisa kamili kuwa miaka ya 70's kuna wanafunzi walikuwa wapenzi ila kutokana na changamoto flani hawakuweza kuwa pamoja.Ni drama inayonyesha tofauti ya romantic relationships za zamani za kipindi hiki, hivyo imechezwa kwenye eras tofauti. Inahusu wanafunzi (wanaojielewa) wa chuo ambao kila mmoja alimpenda mwenzie siku ya kwanza tu kuonana (love at first sight), lakini wote walikuwa na aibu kuonyesha hisia to each other. Mbaya zaidi walikuwa destiny yao ilikuwa kwenda different paths hivyo mpaka jamaa anatongoza rasmi muda wa kuondoka eneo walilokuwepo ulikuwa umefika..........
Yoo seung ho amefanya drama nyingi sana utotoni mwake. Huyo nimekosea ni Kim so hyun sio hiyo yenye double o yupo mtoto mmoja wa kike mwenye jina hilo analingana na Kim yoo jung ameigiza kwenye Bring it on ghost kama umeiona, pia kwenye Love alarm kama sikosei (sijaiangalia)Daaah huyo Yoo Seung Ho nilikuwa nimemsahau, namkubali pia na nadhani alikuwemo hata kwenye QUEEN SEONDEOK.
Kim Soo Hyun namkubali katika ukubwa wake kutona drama alizocheza hasa 'My love from another star" , sijawahi kuona drama yake ya utotoni.
[emoji16][emoji16][emoji16] praise team...the Glory villains wako poa sana yaani unawachukia na kuwapenda kwa wakati mmoja (part two sijaangalia)The Glory kali
Hao villain wa humo balaa
Usi mzingatie sana FL usoni
Namna tu anavyoisuka revenge
Nipo hapa kuisifu[emoji1787]
Alivyosimulia ndio sawa ingekuwa ndio mimi umenisimulia hivi na drama nisingeangalia maana umeshamaliza kila kituNadhani ungempa kisa kamili kuwa miaka ya 70's kuna wanafunzi walikuwa wapenzi ila kutokana na changamoto flani hawakuweza kuwa pamoja.
Miaka mingi ikapita kila mmoja akawa na mwenza wake na wakawa na watoto but still hawana furaha kwenye ndoa zao na bado wanapendana.
Katika unexpected way wakati wanajaribu kurejesha majeshi yao bahati mbaya watoto wao wapo mapenzini so wachague moja waache watoto wao wapendane au wapendane wao.
Anyway kuna OST humo tamu ila nnazozielwa ni Love Rain ya Jang Keun Suk na Because It's You ya Tiffany Young
[emoji16][emoji16][emoji16] praise team...the Glory villains wako poa sana yaani unawachukia na kuwapenda kwa wakati mmoja (part two sijaangalia)
Ina kama episodes ngapi mkuuUkiachana na hii, kuna love story ya I'M SORRY, I LOVE YOU.
Melodrama kali sana japo ni ya zamani kidogo.
Basi itakuwa ni haraka zangu tu,nimeona wengi wanaisifu.
Ngoja nikomae nayo.
Kweli nimeamini kila mtu na taste zake, kuna drama moja 'THE GLORY" ilipendekezwa humu na Inno nikacheki ratings zake nikaona zipo juu, nikaingia NKIRI nikakuta comments kibao za kuisifu, bwanaweeh mpaka sasa nipo episode ya pili ila sielewi kabisa kinachoendelea.
Sijua napata wapi tu drama ya moto kwaajili ya hii weekend.
Huyo picha ya mwisho aliyevaa sweta anaitwa nani ni mwanamke mzuri sanaHatika wasanii walioanza kama child actors nawakubali sana hawa, na sijui wapo wengine waliowahi kuingia vizuri kama hawa.View attachment 2570726View attachment 2570727View attachment 2570728View attachment 2570729
Mbona the glory ni Kali ebu ipe muda zaidi utakuja kukubaliana na mimi sipendi nimpe mtu kazi mbovuKweli nimeamini kila mtu na taste zake, kuna drama moja 'THE GLORY" ilipendekezwa humu na Inno nikacheki ratings zake nikaona zipo juu, nikaingia NKIRI nikakuta comments kibao za kuisifu, bwanaweeh mpaka sasa nipo episode ya pili ila sielewi kabisa kinachoendelea.
Sijua napata wapi tu drama ya moto kwaajili ya hii weekend.
Ni Nam Ji Hyun nadhani ushacheki Giant na Queen SeondeokHuyo picha ya mwisho aliyevaa sweta anaitwa nani ni mwanamke mzuri sana
Huyu ni Kim minjae? Sio kwa kunoga huku...drama gani hiiWenye drama yetu tuna mwezi turudi mzigoni View attachment 2570875
Doctor Romantic Season 3Huyu ni Kim minjae? Sio kwa kunoga huku...drama gani hii
Hiyo picha yake ya uchanga anafanana na mwanae Minguk [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaka ake na Mzanzibar kumbe alikuwa handsome kwenye 20's[emoji16]View attachment 2570876
Kaanza nayo season one au kadandia treni kwa mbele? Huwa siangalii drama zenye season mbili na kuendelea ila nahisi hii nitafumba macho, pamoja na Hospital playlistDoctor Romantic Season 3
Huyu dada huwa anasifiwa sana ila mimi sioni kama ni mzuri kihivyoo [emoji16][emoji16] anyway nawaachia wenyewe mlishasema siwezi kuona mnachoona ninyiNi Nam Ji Hyun nadhani ushacheki Giant na Queen Seondeok View attachment 2570885
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ipoje hiyo sauti siikumbuki. Tatizo mimi drama ikishakuwa vipande vipande inanitia uvivu sanaAmeen
[emoji1787][emoji1787]
Part 2 bhana nayo ndo noma zaidi
Btw ile sauti ya yule mume wa yonjin daaaah[emoji7]
Yupo tangu season 1 fullKaanza nayo season one au kadandia treni kwa mbele? Huwa siangalii drama zenye season mbili na kuendelea ila nahisi hii nitafumba macho, pamoja na Hospital playlist