Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hawakuwa old sana ni kama 42 kwa 32 maana Gong Hyo Jin mwaka jana i think niliona ana 43 halafu mume wake mdogo kwa miaka 10
 
Unataka kupigana?

Inakua kama ile hwaitin watu tunasema fighting
Siku nasoma soompi wakat jang kook atavyotumbuiza saudi kombe la dunia, mtu kakoment iyo fighting walimjazia nzi kisa nchi ya kiarabu armies wakahis commentor anapanga kumshambulia [emoji16] kumbe transalator wanatupa tango pori

Namaanisha wewe ni heavy weight, umetisha[emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi nikiwa newbie kwenye kdrama nilikuwa nasema hivyo pia ila baadae nikagundua waandika subtitles wanatupiga. Ila drama za siku hizi hawaandiki fighting huwa wanatumia maneno mengine tu ya kiingereza kutafsiri hiyo 'hwaiting'
 
Nimeona zote kati ya hizo nne ulizozitaja ila Yi san nipo episode ya 15 naenda nayo taratibu kudownload dramacool kazi sana
 
Operation cho seung won inaendelea.
Hwajung a.k.a Splendid politics drama
View attachment 2585489
Hii drama Cha Seung Won(Gwanghae) utampenda episode zile akiwa tayari mfalme hata hivyo kama sikosei ni episode ya 30 alikuwa dethroned akapigwa exile ndio hakuonekana tena.

Princess Jeongmyeong(Lee Yeon Hee) na Hong Joo Won(Seo Kang Joon) ndio main characters

Ila drama kali sana hii
 
Halafu Dong Yi na Yi San zina ufanano sana japo sawa zote ni za Joseon ila nyingi huwa zinatofautiana mandhari kidogo ila hizi mbili kuanzia vibe lake mazingira hadi soundtracks zina ufanano flani sijui kuwa zilikuwa composed na mtu mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…