Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Divorce attorney shin aliyeitaja na kuirecommend humu shukrani. Nzuri na comedy zake tamu hasa baada ya mlango wa attorney kutengenezwa jamaa na mwenzie wakafurahi na kucheza open sesame😂😂😂😂 attorney anafungua mlango mwenzie anamchungulia na jibu la sesame
 
Divorce attorney shin aliyeitaja na kuirecommend humu shukrani. Nzuri na comedy zake tamu hasa baada ya mlango wa attorney kutengenezwa jamaa na mwenzie wakafurahi na kucheza open sesame[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] attorney anafungua mlango mwenzie anamchungilia na jibu la sesame

[emoji1787][emoji1787] sisi tuloishia njiani, saiv kudownload ep moja moja mbona ntairudia iishe[emoji1]
 
Kucheka kotee huku bado hutaki kuangaliaa varayatiii[emoji1787][emoji1787] mbona mgumu hivo

Mnaadisiana mapigo ya moyo yananienda mbio kama niishushe saiv ila jeuri sina[emoji1787][emoji1787]

Niko na out blooming youth kama utan leo nimetizama ep 9 dah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitakuja niangalie labda siku za mbeleni labda. Hata kpop nilikuwa nakataa hivihivi ila sasa hivi kiko wapi. Hii our blooming youth sijui nianze nayo sasa hivi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitakuja niangalie labda siku za mbeleni labda. Hata kpop nilikuwa nakataa hivihivi ila sasa hivi kiko wapi. Hii our blooming youth sijui nianze nayo sasa hivi

Mostly welcome

Ianze nimeipenda ina mastaa wa historical wengi ukiachana na main leads, japo kastori sio kapya.


Kama nilikua natizama running man wameenda philipino, jamani walivyojaza iyo arena sijui

Na wameimba tu nyimbo zao mchanganyiko hivyo basi yan hamna shughuli lakin bein in variety kuchekesha basi wamejaza watu ambao lugha gongana pia
 
😂😂😂😂😂Nilipomuona tu yule mbaba msaidizi wake nikajua kutakua na comedy humo,huyo jamaa sura haiendani na uhusika(wa jokes) anaopewa ila anafanikiwa kuuvaa.
Mimi attorney shin namkubalig ila humu alikua kama analazimisha kuwa comedy

Basi nikajisikia vibaya[emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilipomuona tu yule mbaba msaidizi wake nikajua kutakua na comedy humo,huyo jamaa sura haiendani na uhusika(wa jokes) anaopewa ila anafanikiwa kuuvaa.

Yule mbaba wa reply 1988 sura yake tu unacheka hata kakaa kimya naturally kama yule wa waikiki yan hadi wakipewa uhusika serious hawatizamiki hivyo.

Nataka nijue sabab ya kuacha kua piano proffesor so ntaimalizia
 
Kitonga cha asubuhi leo sijakitumia sana
Screenshot_20230430-091334.jpg
 
Back
Top Bottom