Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sidhani kama alikuwa anazi-rank drama, alikuwa anajaribu kuonyesha ni jinsi gani drama za kikorea zimeichora Korea kuwa babe sana enzi hizo, tofauti na uhalisia katika historia.


Inaonekana unaipenda sana Empress Ki, eeh?
Dah naikubali Sana ndio historical drama pekee niliyoimaliza ina story Kali, mtiririko mzuri wa matukio
 
Land of wind kwangu mimi 10 ten ya historical drama haiwezi kukosa Top 5.
 
Wamongolia washenzi sana hawatosahaulika jinsi walivyofanya mauaji ya halaiki makubwa katika historia baada uakuutek mji wa Baghdad enzi hizo ndio makao makuu ya Dola ya kiislamu na kuharibu kila kitu.

Sasa hivi haisikiki kabisa nchi kubwa population ndogo .
 
Nchi yao kubwa watu wachache imebaki mapori tu sasa hivi plus umasikini ni mkubwa.
Ila hawa wapuuzi walijua kutembeza panga waliisumbua sana dunia enzi hizo.
 
Mbona mimi nahisi kama kuna kitu hatuambiwi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] jokes

[emoji1787][emoji1787] hata sio joke, [mention]Al-Hadidy [/mention] wala hajali uzuri wake ananyima wazi wazi.

Mwenye niliji sahaulisha kama atanyima nikajishusha ila kakaza[emoji1787]

Yan nna wiki mbili sijatizama i live alone na king of mask singer mb zake hiki cha daily ntashusha siku tatu ep moja[emoji26]

Nastressika
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa kama ulijua utanyimwa uliuliza ya nini ukaniponza na mimi nikaanza kuhangaika.
 
Si nilitoa maelekezo rahisi hapa maana mimi mvivu wa kutazama meseji hata online nakuwaga mara chache humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…