Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

😂😂😂😂😂😂 hadi nimepaliwa .Mie natumia ujanja wa Al hadidy bahati nzuri kwangu inakubali japo kuna changamoto za hapa na pale. Ukimsoma vizuri al hadidy na ukajiongeza kwa ujanja na uvumilivu utaenjoi kila kitonga anachokiweka hapa na simu ni 4G
Hata Numbisa nahisi kuna kitu hutuambii [emoji1787][emoji1787] haiwezekani umerelax hivyo bila kitonga
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee tuliokosa ujanja wacha tuendelee kuumia tu
 

Nahisi hapa kwenye 4G labda ndo napokwama

Lakini em ni boost

Ni muda wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…