Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ni hivyo tu kikubwa uwe na salio la kusukumia connection
Screenshot_20230501-213026.jpg
 
😂😂😂😂😂😂 hadi nimepaliwa .Mie natumia ujanja wa Al hadidy bahati nzuri kwangu inakubali japo kuna changamoto za hapa na pale. Ukimsoma vizuri al hadidy na ukajiongeza kwa ujanja na uvumilivu utaenjoi kila kitonga anachokiweka hapa na simu ni 4G
Hata Numbisa nahisi kuna kitu hutuambii [emoji1787][emoji1787] haiwezekani umerelax hivyo bila kitonga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi nimepaliwa .Mie natumia ujanja wa Al hadidy bahati nzuri kwangu inakubali japo kuna changamoto za hapa na pale. Ukimsoma vizuri al hadidy na ukajiongeza kwa ujanja na uvumilivu utaenjoi kila kitonga anachokiweka hapa na simu ni 4G
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee tuliokosa ujanja wacha tuendelee kuumia tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi nimepaliwa .Mie natumia ujanja wa Al hadidy bahati nzuri kwangu inakubali japo kuna changamoto za hapa na pale. Ukimsoma vizuri al hadidy na ukajiongeza kwa ujanja na uvumilivu utaenjoi kila kitonga anachokiweka hapa na simu ni 4G

Nahisi hapa kwenye 4G labda ndo napokwama

Lakini em ni boost

Ni muda wote?
 
Back
Top Bottom