Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!


Seo jin ni totally a chef
Zile corn dog jaman

Inaitwa mountain playlist/three meals a day
Ukutane na mume wa gummy baada ya ku google vyakula vya kupika
 

Enhee
Nilishusha pamoja na ya cha eun woo ndo hyo? Majina yanchanganya hata nilivyosave

Inatisha mwili unatoa nini aahh nlisisimkaa [emoji3061]
Mi hata all of us dead ep ya kwanza sijaimaliza.
Nitazitazama sahiv sijisikii kutishwa kwakwel
 
Hizo nilishaziangalia ni nzuri ila niliipenda zaidi flower in prison kama hujaiangalia waweza kuiweka kwenye list yako pia. Dae ni mwalimu wa wengi ila kwenye kukupa episode 200 alikuweza kweli kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ muda wote unaangalia mapanga tu.

Kwa kuangalia homework za mwalimu nimeona family drama zitakuboa tu hazina mapangaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ila sio mbaya ukiziangalia siku ukiwa bored na mapanga

Wang's Family
My Father Is Strange
The Gentlemen of Wolgyesu Tailor Shop
Father, I’ll Take Care of You
My Father Is Strange
Marry Me Now
My Golden Life
 
Hapo kuna seo jin mwenye dimpozi zake kisha kuna seo jun yule wa itaewon. Sasa hapa namuongelea mwenye dimpoz.

kuna episode intern kim akamchallenge chef seo kutengeneza hizo corn dog baada ya upishi akagive up na kubakia na ndoto ya kuwa mwanamuzikiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Seo jin ni totally a chef
Zile corn dog jaman

Inaitwa mountain playlist/three meals a day
Ukutane na mume wa gummy baada ya ku google vyakula vya kupika
 
Hiyo hiyo ndo island. Sijui mapembe yale mara ngozi inasinyaa uwii sikuangaliapo nilikua napeleka mbele ila jamani kwani kulikua na ulazima wa eun woo kuvaa heleni akiwa kwenye mavazi ya uchungaji,wachokozi wale. Mchungaji anapiga pamba za ki idolsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

All of us are dead, happiness,squid game nazo kwenye kubadilika na kumwaga damu nilikua nafoward fasta
Enhee
Nilishusha pamoja na ya cha eun woo ndo hyo? Majina yanchanganya hata nilivyosave

Inatisha mwili unatoa nini aahh nlisisimkaa [emoji3061]
Mi hata all of us dead ep ya kwanza sijaimaliza.
Nitazitazama sahiv sijisikii kutishwa kwakwel
 

Mi namsema wa itewon
Kumbe majina yanaelekeana
Boss anachekesha anavyokua frustrated kukiwa hamna wateja
 

Angalau hata happines
Kulikua na some lights
Ila nyingine ziko so dark jaman

Nlijifunza kwenye mouse, iliniumiza sana kichwa. Ndomaana wanasema hata actor wakimaliza wanafanyiwa therapy, na kujua ni maigizo na editing ila una feel zile horror
 
Mmnh Mwanafunzi hivi
Umetisha
Dae ni bonge la mwl
Somo la variety nimelielewa sana kwake[emoji16]
Mwaka 2018 nilipojiunga Jf nilijua hakuna mtu anajua mambo ya kuhusu Korea kunishinda, pia nilikuwa nimejifunza kusoma na kuandika kikorea, kuhusu kuelewa nilikuwa bado kwenye amateur level. Lakini nilipofika humu ndani, niliona andiko lake, na kuna vitu nilikuwa nadhani navielewa sana lakini Jamaa alikuwa anavielewa zaidi. Nami sikutaka battle nae bali nilijinyenyekeza na kumwambia kuanzia leo nitajifunza mengi toka kwako. Wapo wengine wapo vizuri mno pia wanafanya vizuri, k Hata hawa dada zetu wakuu wakuu(Numbisa n.k). Wewe nimekuona recently.
Anyway watu nilowakuta humu walinifanya niwe humble nakujifunza zaidi.
Huyu Daemusin aliwahi kunipa kitabu cha grammar za kikorea.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Naamini nitaweza, mbona Boer hunter niliiweza na haina hata action ni kuhusu mambo ya kifamilia.
Kuna drama moja inaitwa Money game, wow! Ni nzuri na haina hata action.

hapo kwenye list nitaanza na my father is strange.
Ila kwasasa mpaka nimalize The Merchant 2015.

Je? Drama za Comedy hupendi?

Halafu Daemusin alinipa assignment ya Episode 200, kisha 138 zote hizo ni kazi Dume mno( full ubabe)
Halafu akanipa tahadhali kuwa "unywaji wa pombe kupita kiassi ni hatari kwa afya yako"
 

Dae ni wa kipekee
Mimi nilikua natizama dizain ukiomba movie unakutana nazo enzi za chuo na za itv
Nilivyokutana na huu uzi humu, nikamfuata pm eti naomba movie[emoji1787]

Nakumbuka tu alisema yupo mbali ila akanipa maelekezo ya jinsi ya kudownload na akafatilia kama nimefanikiwa.

Hapo sasa ndo niliingia rasmi kwenye kutizama koreans kufuatisha recom zake na kufukunyua zaidi.

Kwakweli maua yake apewe[emoji1491][emoji1488]
 
Mkimaliza mje The secret romantic guesthouse tayari ipo complete ep 16 ni nzuri japo spoilers zilishawekwa humu ila sidhan kama mtafukua comments kuzisoma
Hii our blooming youth ipo kama aged wine
Kila ep inavyosogea ndo inanoga

Episod 20 imefika ghafla sana
Mimi nipo episode 8... No spoilers please [emoji16]
 
Comedy napenda mno ambazo zinazonipa ugumu ni zile za kuuana tu kumwagawaga damu ila nyingine zootee hata historical nyepesi napenda mno

Hilo angalizo alikua analipenda mno siku hizi MUFC imemvuruga matokeo mabovu kaadimika humu.
 
Comedy napenda mno ambazo zinazonipa ugumu ni zile za kuuana tu kumwagawaga damu ila nyingine zootee hata historical nyepesi napenda mno

Hilo angalizo alikua analipenda mno siku hizi MUFC imemvuruga matokeo mabovu kaadimika humu.
Moja kati ya historical dramas zenye comedy nzuri ni MR QUEEN, walijitahidi sana mule ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…