Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Soon atakuja tu😂😂😂

Nilijaribu kuangalia episode moja kutest kama nzuri nikajikuta mzima mzima naangalia zote na kusubiria zinazofatia,uzuri ijumaa tunamaliza ila nimenasa kwenye ongoing drama the secret romance guesthouse nzuri hii
Alafu hii sijawaelewa nkiri mana wametoa ile episode ya 16 alafu wameandika end wakati ukiangalia inaonekana kabisa ile sio episode ya mwisho,
 
We mwanamke unapenda sana mapishi, ukaona comedy haitoshi lazima ukumbushie na mapishi sio?😂

Hapa Tz kungekuwa na restaurants za Kikorea tungekutuma uende utuonjee mapishi yao kisha utuletee mrejesho.

Me huwa navutiwa na zile snacks zao maarufu (jina limenitoka).
Mbona restraurant za kikorea zipo mkuu?
Ipo moja inaitwa goong wamehamia nyuma ya saifee hospital pale ukienda unapata kimchi,ile kitimoto yao wanayochoma wenyewe na soju juu!
Ila kaela kake kamechangamka😄
 
Hata mie nilikuta hivyo ila baada ya al hadidy kusema haijaisha nilipoenda kuhakikisha nikakukuta wametoa neno complete
Ni romantic kweli???? Maana wakorea wanajuaga kutudanganya na majina yao. Unaona drama inaitwa Happiness unasema upakue na wewe uondoe sononeko salaleee...unachoenda kukutana nacho sasa
 
😂😂😂😂😂 Happiness.Yeah hii ipo vizuri kila episode inakutamanisha kuona inayofuatia ina fumbo moja hivi liliwasumbua asilimia kubwa ya watazamaji. Hivyo mwandishi katumia ujanja fulani wa kupendeza.
Ni romantic kweli???? Maana wakorea wanajuaga kutudanganya na majina yao. Unaona drama inaitwa Happiness unasema upakue na wewe uondoe sononeko salaleee...unachoenda kukutana nacho sasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Happiness.Yeah hii ipo vizuri kila episode inakutamanisha kuona inayofuatia ina fumbo moja hivi liliwasumbua asilimia kubwa ya watazamaji. Hivyo mwandishi katumia ujanja fulani wa kupendeza.
[emoji16][emoji16][emoji16] fumbo lipi tena jamani huenda hata mimi sikuling'amua
 
Hii ni mpya. Fumbo ni kumtambua deposed prince and his watchman
the-secret-romantic-guesthouse-korean-drama_1.jpg

Niliangalia siku nyingi
 
Back
Top Bottom