Father, I’ll Take Care of YouPole sana, maana hizi historical drama zetu hasa kuanzia Goryeo mpaka zile za 3 Kingdoms zimekaa kiume sana, lazima uwe na moyo wa chuma. Kwanza mie ndo napenda historical yenye Episode nyingi.
Mfano Emperor wang gun in episode 200. Nilitumia mieza 11 kuimaliza wakati Daemusin( MZANZIBARI) Alitumia miaka 2.
The Age of Warriors ina Episode 158 na nyingine nyingi.
Mie nakupa recommendation ya Princess Ja myung Go. Episode 39 tu.
View attachment 2616138
Hii drama kwakuwa na story nzuri sana naweza kuiweka meza moja na Dae Jang Geum & Dong yi. Kwenye ile list yangu sikuiweka sababu niliweka kwenye category nyingine ambayo nitashare. Hakuna drama ambayo iliwahi kuvuta hisia zangu kama hii.
View attachment 2616139Huyu dada(Princess Ra-hee)nilimchukia sana kupitia drama hii, yaani aliuza Nchi kisa mapenzi. Alidhani anamkomoa dada yake( Princess Ja myung Go), maana wote hawa mpenzi wao alikuwa ni mmoja Prince Hodong wa Gogryeo mtoto wa Mfalme Daemusin( Muyul).
View attachment 2616140
👆🏽Princess Jamyung Go
Drama nzuri sana, ila uwe na leso karibu ili ufutie machozi.
Nipe recommendation za Family drama.