Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mac Alpho tumeshinda njaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa mkaaapaaaa
Ahahaha jukwaa lenu nimeogopa kuliingia tangu jana, hata nikikuta notification za huo uzi kutagiwa nazi-refresh kama sizijui, ila ulivyo kachawi umeamua kunitangizia huku.

Hongereni bwana[emoji1]
 
Mbona restraurant za kikorea zipo mkuu?
Ipo moja inaitwa goong wamehamia nyuma ya saifee hospital pale ukienda unapata kimchi,ile kitimoto yao wanayochoma wenyewe na soju juu!
Ila kaela kake kamechangamka[emoji1]
Ile kitimoto yao wanayochomea mezani huwa inanifurahisha sana, yaani inachomwa na kuliwa hapohapo.[emoji1]

Muda mwingine unakuta meza ina jiko, chakula kinatolewa kwenye jiko moja kwa moja kinaliwa huku kinachemka, sijui wana ulimi gani wale jamaa[emoji1].
 
Hata mie nilikuta hivyo ila baada ya al hadidy kusema haijaisha nilipoenda kuhakikisha nikakukuta wametoa neno complete
Kumbe walitoa?
Mana niliona adi kwenye comment watu walikua wanasema ile series ina episode 18
Ile kitimoto yao wanayochomea mezani huwa inanifurahisha sana, yaani inachomwa na kuliwa hapohapo.[emoji1]

Muda mwingine unakuta meza ina jiko, chakula kinatolewa kwenye jiko moja kwa moja kinaliwa huku kinachemka, sijui wana ulimi gani wale jamaa[emoji1].
Basi ukienda hapo goong unachagua upewe jiko uchome au uletewe iliyokwishachomwa
 
Nyingi wanakula mbichi kabisa. Na pilipili wanapenda balaa ni kuanzia asubuh hadi usiku.
Ile kitimoto yao wanayochomea mezani huwa inanifurahisha sana, yaani inachomwa na kuliwa hapohapo.[emoji1]

Muda mwingine unakuta meza ina jiko, chakula kinatolewa kwenye jiko moja kwa moja kinaliwa huku kinachemka, sijui wana ulimi gani wale jamaa[emoji1].
Ile kitimoto yao wanayochomea mezani huwa inanifurahisha sana, yaani inachomwa na kuliwa hapohapo.[emoji1]

Muda mwingine unakuta meza ina jiko, chakula kinatolewa kwenye jiko moja kwa moja kinaliwa huku kinachemka, sijui wana ulimi gani wale jamaa[emoji1].
Kama nilivyomuona ji chang wa healer nikimuona kwenye drama nyingine naona kapachikwa uhusika usiomtosha
Ile drama mtunzi wa story na director walifanya kazi kubwa sana. Baada ya hapo nilijaribu kutafuta movies nyinyine za huyo dada ila zote niliona kapachikwa kwenye uhusika ambao haujamfit vizuri kama kwenye ile drama.
 
Kuna nyingine family drama amefanya poa sana inaitwa My golden life. Ndio hizo role zake mbili ninazozipenda... Ila huyu dada ni natural comedian wala hatumii nguvu, kakutana na mwenzie Kim jung hyun basi balaa lake si la nchi hii [emoji119]
images%20(2).jpg
 
View attachment 2618294
Comedy anaiweza, sina ubishi juu ya hilo.

Comedy za wenzetu ni nyepesi nyepesi zisizotumia nguvu ambazo zinagusa maisha yetu ya kila siku.
 
Hii tunaita late regret ndio maana unaambiwa treat her better when she's still yours,akisepa inakuwa too late na hawezi geuka nyuma na utaona umuhimu wake akiwa hayupo.

Su hyeok sema alistahili kupigwa chini maana mtoto wa kike alikuwa anampenda ila mwamba akaleta wenge
photogrid.collagemaker.photocollage.squarefit_2023512185258806.jpg
 
Back
Top Bottom