Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Bora hujafunguka zaidi...ningekupiga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hujafunguka zaidi...ningekupiga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora hujafunguka zaidi...ningekupiga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ile drama mtunzi wa story na director walifanya kazi kubwa sana. Baada ya hapo nilijaribu kutafuta movies nyinyine za huyo dada ila zote niliona kapachikwa kwenye uhusika ambao haujamfit vizuri kama kwenye ile drama.Sidhani kama nitakuja kupata drama nitakayocheka kam nilivyocheka Mr Queen
Aigoooh..,usichoke[emoji1]2013 al hadidy alikua na miaka 16 jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ahjumma nimechoookaaaa
Ahahaha jukwaa lenu nimeogopa kuliingia tangu jana, hata nikikuta notification za huo uzi kutagiwa nazi-refresh kama sizijui, ila ulivyo kachawi umeamua kunitangizia huku.Mac Alpho tumeshinda njaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa mkaaapaaaa
Ma ahjumma, mmegoma kushawishika kabisa sio?[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe hata sio dongsaeng bwana...ni mwanetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ile kitimoto yao wanayochomea mezani huwa inanifurahisha sana, yaani inachomwa na kuliwa hapohapo.[emoji1]Mbona restraurant za kikorea zipo mkuu?
Ipo moja inaitwa goong wamehamia nyuma ya saifee hospital pale ukienda unapata kimchi,ile kitimoto yao wanayochoma wenyewe na soju juu!
Ila kaela kake kamechangamka[emoji1]
Drama gani hii? Nimeona uvivu kufuatilia comments za juu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Happiness.Yeah hii ipo vizuri kila episode inakutamanisha kuona inayofuatia ina fumbo moja hivi liliwasumbua asilimia kubwa ya watazamaji. Hivyo mwandishi katumia ujanja fulani wa kupendeza.
Kumbe walitoa?Hata mie nilikuta hivyo ila baada ya al hadidy kusema haijaisha nilipoenda kuhakikisha nikakukuta wametoa neno complete
Basi ukienda hapo goong unachagua upewe jiko uchome au uletewe iliyokwishachomwaIle kitimoto yao wanayochomea mezani huwa inanifurahisha sana, yaani inachomwa na kuliwa hapohapo.[emoji1]
Muda mwingine unakuta meza ina jiko, chakula kinatolewa kwenye jiko moja kwa moja kinaliwa huku kinachemka, sijui wana ulimi gani wale jamaa[emoji1].
Drama gani hii? Nimeona uvivu kufuatilia comments za juu.
Ngoja nianze kuicheki leo.Kwa hisani ya wananchiiii nitakutajia ni the secret romantic guesthouse
Ile kitimoto yao wanayochomea mezani huwa inanifurahisha sana, yaani inachomwa na kuliwa hapohapo.[emoji1]
Muda mwingine unakuta meza ina jiko, chakula kinatolewa kwenye jiko moja kwa moja kinaliwa huku kinachemka, sijui wana ulimi gani wale jamaa[emoji1].
Kama nilivyomuona ji chang wa healer nikimuona kwenye drama nyingine naona kapachikwa uhusika usiomtoshaIle kitimoto yao wanayochomea mezani huwa inanifurahisha sana, yaani inachomwa na kuliwa hapohapo.[emoji1]
Muda mwingine unakuta meza ina jiko, chakula kinatolewa kwenye jiko moja kwa moja kinaliwa huku kinachemka, sijui wana ulimi gani wale jamaa[emoji1].
Ile drama mtunzi wa story na director walifanya kazi kubwa sana. Baada ya hapo nilijaribu kutafuta movies nyinyine za huyo dada ila zote niliona kapachikwa kwenye uhusika ambao haujamfit vizuri kama kwenye ile drama.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ningejua ningefunguka zaidi uisuse ukose uhondo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna nyingine family drama amefanya poa sana inaitwa My golden life. Ndio hizo role zake mbili ninazozipenda... Ila huyu dada ni natural comedian wala hatumii nguvu, kakutana na mwenzie Kim jung hyun basi balaa lake si la nchi hii [emoji119]Ile drama mtunzi wa story na director walifanya kazi kubwa sana. Baada ya hapo nilijaribu kutafuta movies nyinyine za huyo dada ila zote niliona kapachikwa kwenye uhusika ambao haujamfit vizuri kama kwenye ile drama.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ma ahjumma, mmegoma kushawishika kabisa sio?[emoji23][emoji23][emoji23]
Comedy anaiweza, sina ubishi juu ya hilo.Kuna nyingine family drama amefanya poa sana inaitwa My golden life. Ndio hizo role zake mbili ninazozipenda... Ila huyu dada ni natural comedian wala hatumii nguvu, kakutana na mwenzie Kim jung hyun basi balaa lake si la nchi hii [emoji119]
View attachment 2618294
Ukiomba recommendation unaweza kupata kitu kizuri au ukaingia chaka. Mambo ya taste ni magumuHumu kuna saa napita najiuliza sijui niombe recommendations nzuri ila najishtukia naenda zangu googleee