Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

The world has come to an end...may be it has already ended.
Screenshot_20230514-201657.jpg

Crown prince baada ya kuambiwa watu kabla hawajaoana wanatakiwa wapewe muda wa kufahamiana, walau washikane mikono, wakiss ili kupima kama wanaendana[emoji1787][emoji1787]
 
The world has come to an end...may be it has already ended.
View attachment 2627689

Crown prince baada ya kuambiwa watu kabla hawajaoana wanatakiwa wapewe muda wa kufahamiana, walau washikane mikono, wakiss ili kupima kama wanaendana[emoji1787][emoji1787]
Hapo Jae Yi anaumia moyo maana alikuwa kadata kwa Lee Hwan ila kumwambia hawezi
 
Back
Top Bottom